Siku hizi hakataliwi mtu, unaombwa pesa mwisho wa siku unakimbia mwenyewe

Katika vitu mwanaume unatakiwa kuhakikisha unakufa huku binti zako ukiwaachia uchumi wa kutosha.
Watoto wa kizazi hiki unaweza kufanya yote na bado akawa binadamu wa hovyo. Ila nakubaliana na wewe, tujitahidi kuwapa mahitaji yao, wasijekuwa kunguru wa mjini.
 
Mwanaume akikufata kutaka uwe nae kama ujampenda ata usijisumbue kumkataa kumvunja moyo na kauli za oh sio type yangu sijui nina mtu wangu blah blah blah!!

Siku izi mwanaume akikutaka alaf ujampenda we mkubalie tu alaf siku ya pili muombe pesa! Tena pesa ya maana 😀 wanaume wengi awapendi kuombwa pesa. Kitendo cha kumuomba pesa tayari utakua umeshamfukuza mwanaume hatarudi tena!

Akijifanya kidume akituma pokea alaf baada ya siku moja muombe tena pesa. Safari hii muombe pesa nyingi zaidi na kama inawezekana muombe na vitu vingine kama nguo, simu, dhahabu na viatu! Hapa utakua umemaliza kazi uyo mwanaume harudi tena! Ataondoka mwenyewe kiroho safi kabisa tena ataondokwa kwa kukimbia ata nyumba hatogeuka kuangalia 😂

''Humpendi, omba pesa na vitu vya thamani kadri unavoweza'' hii ndo sheria ya kuwakataa hawa viumbe! watoto wa mujini tunaita law of dissipation!
Na siku umejichanganya Kwa unayedhani anakufaa anakutia mimba na ngoma juu kudadadeki
 
Umeandika upumbavu , wenye ujinga na akili za kitoto!
 
Mwanamke chukua tahadhari tena sana ,Dunia ya leo si kila mwanaume utakula pesa yake ukabaki salama hasa mwanaume mwenye pesa ya mawazo au mwingine akili yake haiko sawa. Majuzi club demu kanywa savanna za mtu anataka amkimbie jamaa..si akachaniwa nguo na chupi...
Hii ni kwel nilishuhudia kwa jmaa yngu alimpangia demu chumba demu akaja kuzingua pmj na kumshauri asamehe jamaa aligoma kabisa kilichomkuta yule binti km ni kweli sababu ilikuwa ni yule jamaa yngu baada ya kwenda kwa washirikina huko nyinyi mnaiata waganga basi ni htari
Demu ilikuwa hajiwezi kwa chochote kifupi huduma zote za kibinadamu alikuwa amategemea msaada plus bleed isiyokata
 
Mwanaume akikufata kutaka uwe nae kama ujampenda ata usijisumbue kumkataa kumvunja moyo na kauli za oh sio type yangu sijui nina mtu wangu blah blah blah!!

Siku izi mwanaume akikutaka alaf ujampenda we mkubalie tu alaf siku ya pili muombe pesa! Tena pesa ya maana 😀 wanaume wengi awapendi kuombwa pesa. Kitendo cha kumuomba pesa tayari utakua umeshamfukuza mwanaume hatarudi tena!

Akijifanya kidume akituma pokea alaf baada ya siku moja muombe tena pesa. Safari hii muombe pesa nyingi zaidi na kama inawezekana muombe na vitu vingine kama nguo, simu, dhahabu na viatu! Hapa utakua umemaliza kazi uyo mwanaume harudi tena! Ataondoka mwenyewe kiroho safi kabisa tena ataondoka kwa kukimbia ata nyuma hatogeuka kuangalia 😂

''Humpendi, omba pesa na vitu vya thamani kadri unavoweza'' hii ndo sheria ya kuwakataa hawa viumbe! watoto wa mujini tunaita law of dissipation!
Hàpo sawa dada, umeturahisishia. Kumbe mkiomba hela mnakuwa hamtupendi!
Wanaume chukueni hii, kazi imekuwa rahisi sasa. Ukiombwa hela maana yake hupendwi.
 
Usinichagulie umekula pesa umeliwa na wewe, kwani mbegu zikitoka zinateseka? Acha kula pesa za watu kuwa muungwana utakula kwa ridhaa ya mtu mpaka utachoka humtaki ukijifanya mjanja utajanjuliwa Realmamy
Mbona umegeuzia mimi kibao tena 😅
 
Back
Top Bottom