Siku hizi hakataliwi mtu, unaombwa pesa mwisho wa siku unakimbia mwenyewe

Mkuu unaweza ukawa sahihi kinadharia ila kuwa makini!
Tambua kuwa fedha na zawadi zikitolewa kimkakati ni vigumu sana binadamu kupindua. Ukipokea pesa au zawadi kwa mtu zaidi ya mara tatu nafsi yako ukunjuka, ubadilika na kutamani kuweka mazingira ya kudumu ya kupata pesa kutoka katika chanzo husika na baadaye bila kujijua unageuka kuwa tegemezi hatimaye mtumwa wa hiyo pesa. PESA ina nguvu.
Pesa inaweza sababisha mwanaume akawa mwanamke kwa hiari yeke na mwanamke akaolewa na mwanamke mwenzake.
Ndio mzazi makini huwa anamkanya mtoto wa kiume mara kwa mara asiwe na tamaa na asipende vya bure. YESU aliuzwa kwa Pesa. babu zetu waliuza falme na utu wao kwa zawadi za wazungu kama wine n.k
Hivyo ukikutana na mtu mwenye Pesa hata awe na kasoro gani akiamua tu kutumia nguvu ya pesa kupindua ni ngumu.
kwa sababu ya pesa Nasibu ni Handsome, Monize Handsome, sugu anagombewa, Remi alikuwa na watoto wa nje ya ndoa kama wote, Feruzi handsome n.k Mr Nice na Dud baya wanaoneka wasomeki wakati zamani walikuwa habari ya mjini sababu wamepoteza pesa.
 
Ndege mjanja unasa kwenye tundu bovu, siku yako ya kuyatimba bado haijafika,
Usiache hizo mambo endelea mpaka siku yako ifike.
Ngoja siku ale hela la yule jamaa aliemchomaga demu na mkaa kule kigamboni ndio atajua hajui, au akale hela ya alex masawe, papa musofe au ayoub kiboko au hata hela ya kinje tu ndio atajua kwamba wengine hawana marinda sio kwakupenda ila ni arrangements mbaya za maisha yao zilizo jeopardize ndogo zao. kuna siku atapigwa gang bang moja ya hatari....
 
Kabisa aisee atajichanganya sehem mbaya wamfunze dunia inakwendaje
 
Usipokee kitu cha mwanaume kama hauna mpango naye, vitakutokea puani, unapopokea unajifungamanisha naye katika ulimwengu wa roho, hivyo usijidanganye, kwa kupokea vitu vyake tu unakuwa umefungua mlango wa uharibifu. Jihadhari sana
 
Hapo kwenye Dhahabu atakufa πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… kama 20000 tu anakimbia.
 
Hata sisi tunajua, ukiomba pesa najua hunitaki nasepa zangu.
 
Akalee mtoto wake au wako πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…