Siku hizi hakataliwi mtu, unaombwa pesa mwisho wa siku unakimbia mwenyewe

Katika vitu mwanaume unatakiwa kuhakikisha unakufa huku binti zako ukiwaachia uchumi wa kutosha.
Watoto wa kizazi hiki unaweza kufanya yote na bado akawa binadamu wa hovyo. Ila nakubaliana na wewe, tujitahidi kuwapa mahitaji yao, wasijekuwa kunguru wa mjini.
 
Na siku umejichanganya Kwa unayedhani anakufaa anakutia mimba na ngoma juu kudadadeki
 
Umeandika upumbavu , wenye ujinga na akili za kitoto!
 
Hii ni kwel nilishuhudia kwa jmaa yngu alimpangia demu chumba demu akaja kuzingua pmj na kumshauri asamehe jamaa aligoma kabisa kilichomkuta yule binti km ni kweli sababu ilikuwa ni yule jamaa yngu baada ya kwenda kwa washirikina huko nyinyi mnaiata waganga basi ni htari
Demu ilikuwa hajiwezi kwa chochote kifupi huduma zote za kibinadamu alikuwa amategemea msaada plus bleed isiyokata
 
HΓ po sawa dada, umeturahisishia. Kumbe mkiomba hela mnakuwa hamtupendi!
Wanaume chukueni hii, kazi imekuwa rahisi sasa. Ukiombwa hela maana yake hupendwi.
 
Usinichagulie umekula pesa umeliwa na wewe, kwani mbegu zikitoka zinateseka? Acha kula pesa za watu kuwa muungwana utakula kwa ridhaa ya mtu mpaka utachoka humtaki ukijifanya mjanja utajanjuliwa Realmamy
Mbona umegeuzia mimi kibao tena πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…