Siku hizi husikii madawa ya kulevya/Dhahabu kukamatwa Airport

Wale miamba kuwajua hata kama umezaliwa eneo hilo huwezi wajua upande wa pili ni watu wema,kujitoa kwa jamii na biashara vivuli. Ukiwa mtu wa mishe na kujichanganya hata ukiwa mgeni lazima utawajua mapema
Biashara inafanyika kificho
Sana,mtu mwenye line hampi mtu line ovyo ovyo
Line wanapeana wenyewe maana wanajuwa ikilipuka
Ni balaa,kuchomana

Ova
 
DCEA wanajitahidi sana fanya usiingie 18 za Bwana Lyimo
Tena anakukamata na kidhibiti mzee
Miezi 2 nyuma kuna mbongo
Mmj alikuwa anaishi South
Na alitengeneza hela sana
Mijumba dar ya kutosha,walimkamatia mbweni kwa pesa aliyokuwa nayo yule lazima aliwapa offer wazee wakakataa πŸ˜„
Ila ingekuwa police ah wangechkua tu wakamuachia ila dcea wakija πŸ˜„ hawafai

Ova
 
Unga wa tumbo ulishapitwa wanaofanya pia ni wachache sana
Na sheria hyo ya kifungo cha maisha tena balaa
Wauzaji wengi wamekimbilia sidadi wanaonganisha juu kwa juu

Ova
Wapo wanabishi wenye roho za chuma wanapenya hapo hapo JNIA..
ila kwa technology waliyonayo kwa sasa hapo ni risky 90%
 

Taja hapa cartels 5 waliokamatwa kwenye hiyo biashara.

Usinitajie vidampa maana vidampa hawana hata pesa ya kununua ya precursor chemicals za kufinalize preparation ya active ingredient ya narcotic.

Ninasubiri hapa majina maana cartels wanajulikana .
 
Kabisa,sasa utokee nchi ya
Brazil,Ecuador, Peru lazima
Wazee wakuwepe pembeni wakufanyie massage
πŸ˜„

Ova
Hata kutoka tu mkuu, tena wapo faster sn tu.
Wana vimiminika fulani wakipitisha hata kwenye nguo ulizovaa wanakunasa...ina detect wanajuwa...
Mara 2 nishavutwa hapo wakati wa kutoka ila nilikuwa safi sina tatizo..
 
Tena mkubwa sn
Miaka ile muuzaji ndani ya gari anatembea na mfuko
Hana wasi kama ana leseni vile πŸ˜„
Ukipita manyanya pale unawakuta wauza kete wamewapanga foleni mateja kibao mtu hana wasi
Anaingia asubuhi anaingia saa tano na saa tisa
Miaka ya hivi karibuni peupe
Ila kwa sheria iliyotungwa kali sana ukichomoka lzm utafute shuguli nyingine tu πŸ˜„

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…