Siku hizi husikii madawa ya kulevya/Dhahabu kukamatwa Airport

Kwa sasa watu wanaogopana sana, informers kibao mjini,ndy maana wanafanya biashara kwa siri kibwa sn..
yaani hii sheria za madawa wangewekewa mafisadi na wanaohujumu inchi ,,wanaokula mali ya umma,,
Hakika Tanzania ingenyooka sn..
Siku zote nasema kwamba wenzetu wazungu kesi za madawa ni kesi ya kipuuzi,,ila ufisadi human trafficking ni kesi kubwa sn kwao. wanakufunga Miaka mingi sna,,
ndy maana wenzetu wanaendelea....
.Hivi mtu afungwe maisha kisa mirungi au bangi inaathiri vipi inchi?
Wafungwe maisha mafisadi na wanaohujumu inchi...
 
Zama hiz nadra sana kusikia madawa ya kulevya yamekamafwa au gold smugglers wamekatwa airports. Watu wana bills za kulipa?
Ukiona kimya ujue nchi tayari imeshakuwa Banana Republic, kila sehemu rushwa, wizi, mauaji nk. Walioko kwenye fursa awamu hii wengi ni mabilionea sasa hivi.

Rais kapoteza control kabisa, anapangiwa na kuendeshwa na Gangstars kama remote control, urais wake umegawanyika vipande vingi.
She is officially a useful idiot for drug cartels.
 
Na show kama hizo mpaka Boss wao Mr Lyimo anakuwa Front line hapo hakuna kupona.
 
Na show kama hizo mpaka Boss wao Mr Lyimo anakuwa Front line hapo hakuna kupona.
Lymo noma najuwa kuna watu wanamuona mkuda
πŸ˜„ lkn yuko kazini
Kama nzowa vile alivyokuwa
Nzowa alinyooka kama ruler
Alipostaafu wazee wa dili walishangilia

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…