GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Wengi mnamfahamu Mzee Yussuf Makamba kwa misemo na nukuu zake za vitabu, ni miongoni mwa wanasiasa mashuhuri nchini na amewahi kuhudumu nyadhifa tofauti ikiwemo kuwa katibu mkuu wa Chama Cha Mapinduzi
Mzee Makamba ambaye kwa sasa amejikita katika uandishi wa vitabu amekuja na kitabu chake kipya kiitwacho cha Kale ni Dhahabu chenye kueleza visa na mikasa vilivyomsibu katika utumishi wake.
Chanzo: azamtvtz
Ninaowajua Mimi mpaka sasa walivyotoa tu Vitabu wakafariki japo kuna Mmoja katoa ila Hirizi za Pwani zinamlinda.