Duh kaandika kwa kiswahili kabisa. Mbona yeye tunavyomjua hakuwahi kupata misukosuko ya kisiasa mpaka akastaafu, au ni pale wastaafu walipoambiwa wanawashwawashwa wakae kimya kwenye ule utawala ? Maudhui yako mengi kila mstaafu anaweza kuandika kitabu si lazima iwe ni mambo ya kisiasa tu. Wengine watunge michezo, utamaduni, sanaa, uchumi, elimu, afya na sheria kuna wapo watavutiwa kuvisoma vitabu hivyo