Nimepita sehemu fulani mitaa ya Madale kuna shule moja ya secondari ya kata, nimekuta magari kama 20 hivi yamepaki nje.
Nikajaribu kuuliza kama hayo magari ni ya walimu au wazazi wamekuja kuhudhuria vikao vya shule, nikajibiwa ni ya walimu.
Kumbe walimu mambo mazuri siku hizi eeh?
Mitano tena kwa mama yetu.
Jirani hujamboNikipita Msigani Primary huwa naona Rav4, Spacio, IST. Kweli walimu wanajitahidi.
Gari ni chombo cha usafiri, mbona hata madalali wana magariNikipita Msigani Primary huwa naona Rav4, Spacio, IST. Kweli walimu wanajitahidi.
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Kumbe kupark gari ni maisha mazuri...
Bado nilikuwa sijajua kama na mm tayari nina maisha mazuri!
Kwaiyo zipo kwenye kundi la vikombe siyo!?Yale sio magari.. passo, ist, spacio, sijui visuzuki nayo ni magari?? Hivyo ni vyombo vilivyofungwa mota
Ukute huna hata Passo ya milioni 4Yale sio magari.. passo, ist, spacio, sijui visuzuki nayo ni magari?? Hivyo ni vyombo vilivyofungwa mota
Mwalimu aliyetumikia zaidi ya miaka 15 kazini ana fursa ya kukopa benki mpaka zaidi ya milioni 50[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
πππWake zetu hao kalaghabao!
TRA awalijui hilo wao uona gari anasaGari Kwa sasa ni basic item na si kipimo cha maisha mazuri. Siri yetu na salary slips zetu
Mjadala ufungwe. Wewe umeandika ukweli.Wake zetu hao kalaghabao!