Siku hizi naona Walimu wana maisha mazuri sana

We kweli mshamba ni mwalimu gani atashindwa kukunua gari? gari la sh 12 Milioni. Acha kuendekeza umaskini
 
 
😂😂😂😂
 
Ukiona upo kwenye taifa ambalo kumiliki Raum ni kipimo cha utajiri basi ujue hiyo nchi wananchi wake wana hali ngumu sana.
 
Hao ni wake zetu sisi tumewanunulia.
Pia hayo magari mengi unayoyana sio ya anasa ni ya kawaida chini ya 25M.
Ukiona mwalimu wa kike kanunua gari mwenyewe kwa pesa yake na anahudumia gari kwa pesa yake lazima awe na michepuko isiyopungua minne.
 
watu bado wana mawazo ya kijima,maisha yamebadilika sana.

watu wanajenga nyumba nzuri,magari mazuri wananunua na bata la kipindi wanakula.
 
Ni kweli kuwa walimu hawqna maisha mabaya kama vile jamii inavyosema ila kwa siku za usoni kumekuwa na jambo jipya kwa walimu ambalo sidhani kama ni afya kwao , nalo ni kuchukua mikopo mikubwa na kununua magari ya kifahari ambayo mpaka uwezo wa kuyaendesha kila siku ni ngumu mpka siku za mshahara

Wito wangu kwa hawa walimu ninaowaheshimu sana , ni kheri kuchukua mkopo na kuwekeza ukala hasara ila kuliko kununua gari la milioni kumi na tano na kushindwa kumudu mafuta the whole month huku ukisubili siku moja liwe screpar .

Nawapenda walimu
Ushauri tu [emoji120][emoji120][emoji120]TEKERI
 
Siku hizi Wana pack magari kibao tena mpaka walimu wa shule za msingi
 
Ina maana walimu wote hawana miradi ya kutengeneza mitonyo tofauti na kutegemea mshahara ?
 
Hao ni wake zetu sisi tumewanunulia.
Pia hayo magari mengi unayoyana sio ya anasa ni ya kawaida chini ya 25M.
Ukiona mwalimu wa kike kanunua gari mwenyewe kwa pesa yake na anahudumia gari kwa pesa yake lazima awe na michepuko isiyopungua minne.
Huna hata uwezo wa kununua bodaboda hapo ulipo
 
Siyo kihivyo boss,walimu wengi wa Minaki wenye magari wanaishi hapo hapo kwenye nyumba za shule,Chungu na walimu wake wako hapo.ukimuondoa Samson anayekaa Ulongoni wengine ni wanawake.Na hawaendi nayo kila siku.
Mkuu unawafahamu kiundani aisee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…