Siku nilipogundua mwanamke wangu ana wanaume wanne tofauti: Sitoamini tena mwanamke

..wewe ni newly recruited lover, hao wengine umewakuta, nadhani si mbaya, labda hatari ni moja tu, collabo ya kuambukizana VVU tu!
 
Ngojeni mchapiwe, Mwanamke mwenye pesa yake au anayetafta kama wewe ni mwanaume mwenzako, akuhifadhie wewe tu kwa kipi na wenye pesa wanaitaka papuchi na yeye pesa anaitaka? Yaan asubir ujipate na awaache waliojipata kwa kipi? Wekeni akili sawa wanaume, kama hujajipata usimvundike ataliwa na wenzie.
 
Kuepuka sharing mwanamke hasa zama hizi ni mtihani, lazima wahuni wakiona asali waionje hata kama wanajua watang'atwa na nyuki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…