Siku niliyotumia dawa ya nguvu za kiume ilikuwa hatari; dont try!!

Jamaa yako zembe sana.
Vijana wa sasa walaini mno.
 
Mwishoni mwa 1990's kulikuwa na BUZZ (tiGO) na TRiTEL (Airtel)
Watoto wadogo hawajui hilo.
Tritel kitambo sana aisee ilikuja kujifia 2000 mwanzoni.
Enzi hizo tunavaa shati bwanga mauamaua mokasini suruali pepe kalee unaonekana mjanja..Philips shindo, motorola , siemens ndiyo zilikua zetu washua.
 
R.i.p mwamba
 
Naona umewawekea kabisa weekend ndefu hii....🤓🤓🤓🤓
 

Hahahahahha wewe haujui sasa. Hao matajiri nje wanapata michepuko wa kuwachuna hela tu hata hizo shoo hawaziwezi. Unakuta mdada yupo kuvuna hela tu akitoka hapo anaenda kwa kijana choka mbaya ananyooshwa
 
Hahahahahha wewe haujui sasa. Hao matajiri nje wanapata michepuko wa kuwachuna hela tu hata hizo shoo hawaziwezi. Unakuta mdada yupo kuvuna hela tu akitoka hapo anaenda kwa kijana choka mbaya ananyooshwa
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yupo mpuuzi mmoja ni marketing manager kampuni X arusha, yupo kitandani saa hizi analoongea halijulikani kawa kama kawehuka....

Alishaoa na ni baba wa familia ilikuwa ndio tabia yake kutumia hizo dawa, mkewe aliona vidonge ndani akaogopa kwani jamaa alikuwa haumwi akavipeleka famasi kuulizia ni dawa za nini akihisi uenda ni Arvs jamaa anameza kisiri kumbe ni Viagra.

Siku zote "siku za mwizi kuiba ni nyingi ila siku ya kukamatwa ni moja tu"
Mwezi uliopita kama kawaida alichepuka na binti wa chuo X Arusha yupo 3rd year kama sikosei kwani anao wengi, wakala na kunywa sasa walipoenda lodge kula mzigo akameza hayo madawa ili binti amuone yeye kijogoo si akazima katikati ya game, binti akaona lile ni balaa kwakuwa michepuko huwa inatabia ya kujua namba ya mke ukampigia kwa simu ya mzimiaji kwamba njoo lodge fulani chumba X umchukue mumeo sijui kama mzima au kafa, binti akakimbia hakubeba hata shilingi, yule muhuni alikuwa na laki kadhaa kwenye suruali yake uenda binti alitaharuki unajua mambo ya mtu kama anataka kukata roho mbele yako inatia hofu.

Mke alipofika kamkuta jamaa povu na damu zinamtoka mdomoni na puani huku mshale wake umesimama na umekaza kinoma, kupelekwa hospital mishipa miwili inayo pump damu inayotoka kwenye moyo kwenda kwenye ubongo "carotid/vertebral arteries" imepasuka damu imevujia kwenye ubongo na alidondoka vibaya chini hivyo anauvimbe ndani ya fuvu, moyo umetanuka pia, reason behind ali overdose Viagra.

Sasa yupo hoi taabani kitandani hamjui anayeingia wala anayetoka ni fedheha na aibu kwa familia.

Yule binti naona alipo chuoni huko anatetemeka sijui kama atarudia tabia ya kuwa na waume za watu, kama yupo humu ajue kuwa yule mpenzi wake angali yu'taabani kitandani akamjulie hali...

Guys haya madawa ni hatari kwa afya zetu wanaume tusitumie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…