Baki hapo na fikra zako za kitumwa. Warusi na wachina wako wapi na iyo English yako
Baki hapo na fikra zako za kitumwa. Warusi na wachina wako wapi na iyo English yako
Wema Sepetu anajua English vizuri tu, hiyo English yake imemfikisha wapi?
😂😂😂😂😂Mkuu yan umenigusa aisee, pamoja ni kupata div 1 Olevel na alevel ila kiingereza changu cha papatu papatu [emoji3]..
Huu ujinga siwez ruhusu kwa watoto wangu,niliwah aibika kwenye interview moja mpka wakaanza kuquestion vyeti vyangu sasa mambo gani hayo..
Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
😂😂😂😂😂
Nimecheka kama mazuri vile.
Tuwasaidie watoto wetu kadiri tuwezavyo mkuu
Wakinga ni moja wapo ya watu waliokuwa wanaamini kusoma shule ni kupoteza muda, biashara zao zilivyo anza kuingiliwa na matapeli (kama wanataka kununua mzigo walikuwa wanachanga wanampa mtu mmojawapo, anazibeba mkononi, anapanda bus, mbele ya safari anaporwa) wakashituka.Kuna jirani yangu yeye aliishia la saba akasema shule basi(na wazazi wake hawakumbembeleza sana wakamuacha aishi atakavyo enzi za 80 huko)ila kwa sasa anajilaumu kwa uamizi ule hivyo kaweka bidii kwa wanae wanasoma shule nzuri wakati yeye anafanya biashara ya nyanya kwa matenga.
Nafikiri ungesoma vema comment ya niliye mquote, yeye kasema shule kongwe za serikali, zipo vizuri, kuanzia walimu, mazingira, miundombinu, vifaa husika km vitabu etc, ndo maana wanafunzi wanafaulu mnoo.Pamoja na kukomaa ili watusue ila kumbuka wanaoenda uku ni cream tupu
Shule za serikali zote ni matatizo matupu, sema hizi kongwe na Special, zinafanya vizuri kwa kuwa wanafunzi wanajipambanua na kujipigania wenyewe ili watoke na kitu kizuri.Hizo shule huwa zinazidiana matatizo tu,kuna mwanafunzi alihama Minaki akaenda Tosa, anafika anakuta mtu anapambana ahame aende Minaki.
Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
Bora useme wee mwenzangu, maana mie pia Advance nimepita special school.Special school huwa hawafundishi, kule huwa tunafaulu kwa kutumia historia ya ufaulu wa shule. Hicho ndicho hutupa hamasa ya kusoma kwa bidii.
Ukiitwa oral interview basi kingereza kinakusaliti kinasema bro ukimaliza utanikuta hapa nje turudi mtaaniAnko kwenye hiyo lugha mapito ninayo yapitia mimi hadi Mungu kachoka kunionea huruma, sijui kigugumizi kinatokea wapi!!!
Acha tu ndugu yangu.Ukiitwa oral interview basi kingereza kinakusaliti kinasema bro ukimaliza utanikuta hapa nje turudi mtaani
Shule za serikali zote ni matatizo matupu, sema hizi kongwe na Special, zinafanya vizuri kwa kuwa wanafunzi wanajipambanua na kujipigania wenyewe ili watoke na kitu kizuri.
Tupeni summary dogo shule alizosoma na matokeo yake
Sawa goodShule ya msingi kasoma kayumba inaitwa shauri moyo kuanzia la kwanza mpaka la saba. Kisha akafaulu mtihani wa la saba
O level kasoma shule ya sekondari mawenzi ni ya serikali na kupata Div 1.7
A level kasoma Mzumbe sekondari na kupata div 1.3 na kuingia kumi bora ya taifa
Ni kweli ni juhudi binafsi ya mtu inachangia lakini ile selection ya kuchukua cream tupu ni moja ya sababu kuu kufaulu vizuri.Nafikiri ungesoma vema comment ya niliye mquote, yeye kasema shule kongwe za serikali, zipo vizuri, kuanzia walimu, mazingira, miundombinu, vifaa husika km vitabu etc, ndo maana wanafunzi wanafaulu mnoo.
Ndo nkamjibu vile, shule kongwe na special, kule ni juhudi binafsi za mwanafunzi ndo zinazobeba matokeo. Na sio hivyo alivyodai yeye.
O level nimesoma shule kongwe, na Advance nimesoma special school, ko nilichokisema, nimekiishi na kukipitia.
Labda nikuulize kwahiyo wanafunzi Cream wanatakiwa kukomaa wenyewe ili watusue?