Siku wazazi wakitumia mbinu za mzazi huyu familia zitaendelea. Hela anazo nyingii ila ada analipa ndogo na mtoto anapata A zote O level na A level

Siku wazazi wakitumia mbinu za mzazi huyu familia zitaendelea. Hela anazo nyingii ila ada analipa ndogo na mtoto anapata A zote O level na A level

Baki hapo na fikra zako za kitumwa. Warusi na wachina wako wapi na iyo English yako

Warusi na wachina wanauwezo wa kutengeneza vitu vyao Kwa lugha Yao, wameendelea mbali mno.

Sasa wewe lazimisha kiswahili au dharau kiingereza wakati Kila kitu au vitu vingi unatumia vimeandikwa kizungu.

Kwanza ingekua amri yangu shule zote kuanzia shule ya msingi zingefundisha Kwa kiingereza, hizi shule private wenyewe wangezifunga Kwa kukosa wateja.
 
Kama mtoto ana akilii huitaji kutumia nguvuu...somesha kayumba mlipie tuition nzuri anatoboa chap tuu.. mimi elimu yangu yote sijawahi lipa ada inayozidi elfu 70 mpaka namaliza chuo
 
Mkuu yan umenigusa aisee, pamoja ni kupata div 1 Olevel na alevel ila kiingereza changu cha papatu papatu [emoji3]..
Huu ujinga siwez ruhusu kwa watoto wangu,niliwah aibika kwenye interview moja mpka wakaanza kuquestion vyeti vyangu sasa mambo gani hayo..

Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
😂😂😂😂😂
Nimecheka kama mazuri vile.
Tuwasaidie watoto wetu kadiri tuwezavyo mkuu
 
Kuna jirani yangu yeye aliishia la saba akasema shule basi(na wazazi wake hawakumbembeleza sana wakamuacha aishi atakavyo enzi za 80 huko)ila kwa sasa anajilaumu kwa uamizi ule hivyo kaweka bidii kwa wanae wanasoma shule nzuri wakati yeye anafanya biashara ya nyanya kwa matenga.

Wakinga ni moja wapo ya watu waliokuwa wanaamini kusoma shule ni kupoteza muda, biashara zao zilivyo anza kuingiliwa na matapeli (kama wanataka kununua mzigo walikuwa wanachanga wanampa mtu mmojawapo, anazibeba mkononi, anapanda bus, mbele ya safari anaporwa) wakashituka.
Kwa sasa ndio wanaongoza kwa kusomesha shule za gharama huku Mbeya. Watoto wao ndio wanaagiza bidhaa kutoka nje, sio kutumana tena.

Hatuwezi kuzikwepa lugha za kigeni hasa za mataifa yenye uchumi mkubwa.
 
Pamoja na kukomaa ili watusue ila kumbuka wanaoenda uku ni cream tupu
Nafikiri ungesoma vema comment ya niliye mquote, yeye kasema shule kongwe za serikali, zipo vizuri, kuanzia walimu, mazingira, miundombinu, vifaa husika km vitabu etc, ndo maana wanafunzi wanafaulu mnoo.

Ndo nkamjibu vile, shule kongwe na special, kule ni juhudi binafsi za mwanafunzi ndo zinazobeba matokeo. Na sio hivyo alivyodai yeye.

O level nimesoma shule kongwe, na Advance nimesoma special school, ko nilichokisema, nimekiishi na kukipitia.

Labda nikuulize kwahiyo wanafunzi Cream wanatakiwa kukomaa wenyewe ili watusue?
 
Hizo shule huwa zinazidiana matatizo tu,kuna mwanafunzi alihama Minaki akaenda Tosa, anafika anakuta mtu anapambana ahame aende Minaki.

Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
Shule za serikali zote ni matatizo matupu, sema hizi kongwe na Special, zinafanya vizuri kwa kuwa wanafunzi wanajipambanua na kujipigania wenyewe ili watoke na kitu kizuri.
 
Anko kwenye hiyo lugha mapito ninayo yapitia mimi hadi Mungu kachoka kunionea huruma, sijui kigugumizi kinatokea wapi!!!
Ukiitwa oral interview basi kingereza kinakusaliti kinasema bro ukimaliza utanikuta hapa nje turudi mtaani
 
Shule za serikali zote ni matatizo matupu, sema hizi kongwe na Special, zinafanya vizuri kwa kuwa wanafunzi wanajipambanua na kujipigania wenyewe ili watoke na kitu kizuri.

Upo sahihi sana. Shule za serikali watoto wanafaulu sababu wanajituma. Na pia hata kwenye maisha waliosoma shule za serikali huwa hawachagui kazi wala hawana ubishoo na usista duu wa kipuuzi
 
Tupeni summary dogo shule alizosoma na matokeo yake

Shule ya msingi kasoma kayumba inaitwa shauri moyo kuanzia la kwanza mpaka la saba. Kisha akafaulu mtihani wa la saba

O level kasoma shule ya sekondari mawenzi ni ya serikali na kupata Div 1.7

A level kasoma Mzumbe sekondari na kupata div 1.3 na kuingia kumi bora ya taifa
 
Sawa good
 
Nafikiri ungesoma vema comment ya niliye mquote, yeye kasema shule kongwe za serikali, zipo vizuri, kuanzia walimu, mazingira, miundombinu, vifaa husika km vitabu etc, ndo maana wanafunzi wanafaulu mnoo.

Ndo nkamjibu vile, shule kongwe na special, kule ni juhudi binafsi za mwanafunzi ndo zinazobeba matokeo. Na sio hivyo alivyodai yeye.

O level nimesoma shule kongwe, na Advance nimesoma special school, ko nilichokisema, nimekiishi na kukipitia.

Labda nikuulize kwahiyo wanafunzi Cream wanatakiwa kukomaa wenyewe ili watusue?
Ni kweli ni juhudi binafsi ya mtu inachangia lakini ile selection ya kuchukua cream tupu ni moja ya sababu kuu kufaulu vizuri.
Sijajua kwa sasa hivi jinsi wanavyofanya selection zao mfano kipindi chetu combination za science special school walikuwa wanachukua kuanzia div 1:7 mpka 1:12 ..kwa mtindo vilaza watatoka wapi? Ndio sababu iliyokuwa inapelekea special school kuongoza zaidi.
 
Back
Top Bottom