Sikubaliani na aina ya mabadiliko ya viongozi uliofanywa na Rais Samia. Washauri wake wamempoteza

Sikubaliani na aina ya mabadiliko ya viongozi uliofanywa na Rais Samia. Washauri wake wamempoteza

Hahaha tatizo langu ni tofauti na la mleta mada.

Mimi sielewi kwanini tuna RECYCLE watu wale wale, wakati nchi ina watu milioni 60.

Kila kukicha tuna TAWALIWA na watu wale wale, halafu wachawi wana mloga SSH, kwanini msiwaloge hawa wanaobadirishwa kilasiku waao tu?

Kama marehemu wameandikishwa kupiga kura serikali za mitaa na wakapiga, basi JPM apewe wizara isiyo kuwa na wizara maalum, au arudishwe kwenye nafasi yake.
 
Hahaha tatizo langu ni yofauti na la mleta mada.

Mimi sielewi kwanini tuna RECYCLE watu wale wale, wakati nchi ina watu milioni 60.

Kila kukicha tuna TAWALIWA na watu wale wale, halafu wachawi wana mloga SSH, kwanini msiwaloge hawa wanaobadirishwa kilasiku waao tu?

Kama marehemu wameandikishwa kupiga kura setikali za mitaa na wakapiga, basi JPM apewe wizara isiyo kuwa na wizara maalum, au arudishwe kwenye nafasi yake.
Comment yako inafikirisha 😂😂😂
 
Mafisadi yote saiv yameenda kajificha CCM , yanampelekesha huku yakimwambia mitano tena

Tukienda na ukweli huyu mama kufikia kesho saa Saba mchana ilifaa awe ameshajiuzuru na PhD zake fake

Hii nchi haijawahi kupata kiongozi wa hovyo kama huyu mama
 
Ushauri na usimshauri, Katiba inampa haki ya kufanya atakachoamua yeye.
Hakuna mtu aliesema kuwa katiba haimpi haki ya kufanya anachotaka. Na hakuna sehemu katiba inamkataza mtanzania yeyote asimshauri raisi.

Kama ipo katiba au sheria inayomkataza mtanzania kumshauri raisi naomba uniwekee hapa niione.
 
Mafisadi yote saiv yameenda kajificha CCM , yanampelekesha huku yakimwambia mitano tena

Tukienda na ukweli huyu mama kufikia kesho saa Saba mchana ilifaa awe ameshajiuzuru na PhD zake fake

Hii nchi haijawahi kupata kiongozi wa hovyo kama huyu mama
Dah aisee ni hatari sana 😀
 
Kwa dunia ya sasa leadership bila expertism katika eneo husika ni kupuyanga tu.

Hizi mambo zilikuwaga zamani oo anaendea kutoa uongozi tu. Lakin kwa dunia ya leo inahitaji hata huyo kiongozi kiufundi awe anafahamu vitu.
 
Back
Top Bottom