Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Mtambulishe mkuu tushughulike nayeWewe ni chawa mwingine naona soon tutaanza kukupika hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtambulishe mkuu tushughulike nayeWewe ni chawa mwingine naona soon tutaanza kukupika hapa
Kwa hapa kwetu ili upewe nafasi ya uongozi wizarani unahitaji vitu viwili.Kwa dunia ya sasa leadership bila expertism katika eneo husika ni kupuyanga tu.
Hizi mambo zilikuwaga zamani oo anaendea kutoa uongozi tu. Lakin kwa dunia ya leo inahitaji hata huyo kiongozi kiufundi awe anafahamu vitu.
Rais gani huyo anaweza kurogwa, hapo hakuna kitu tuna bora raisKumbe wachawi wapo kazini ndomaana Masauni bado anadunda tu 😀😀😀
Ni waziri wa nini?Mzee Mbowe na yeye kasomea nini?
Niaje waungwana
Naona raisi Samia kaendelea kuvuruga serikali yake mwenyewe bila kujua madhara yanayoweza kutokea kutokana na uvurugaji wake huo.
Ni kama vile kocha asiejua nafasi za wachezaji wake uwanjani kiasi ya kwamba golikipa anampanga kwenye ushambuliaji, mshambuliaji anapangwa kwenye ukipa, halaf beki anapelekwa kwenye ushambuliaji, mnafikiri team hiyo itaweza kupata ushaindi kweli?!
Binadam tumeumbwa kila mtu na kipaji chake. Ndomaana wenzetu wazungu wakikuona wewe akili yako inaelekea kwenye elimu basi wazazi watakusomesha kwa juhudi na bidii kwa sababu wanajua kwamba huko ndiko Mungu alipoamua akili yako ielekee, hivyo wakiku force kwnye michezo au biashara itakuwa ni kupoteza pesa na muda bure, kwani result yake baadae itakuwa ni tofauti na kipaji chako.
Hiivyo watakuendeleza kwa kile wanachoona kinaendana na akili au kipaji chako. Hakunaga mambo ya kulazimishana au kujaribishana katika sehemu ambayo mtu hafiti wala hana uzoefu nayo.
Mfano UK waziri mkuu unakuta anamteua waziri wa michezo ambae anaijua vizuri michezo, ni mfuatiliaji wa michezo na pengine aliwahi kabisa kuwa mchezaji. Hivyo akipewa nafasi ya wizara ya michezo ana uwezo wa kufanya mambo makubwa katika michezo kwa sababu ya uzoefu wake na kipaji chake katika michezo.
Hivyo hivyo kwa Marekani, Canada, Ujerumani nk mtu anateuliwa katika sehemu ambayo ana uzoefu nayo ili kuondoa kuzorota kwa shughuli za wizara na serikali kwa ujumla, hivyo ni vigumu sana kukuta ujinga ujinga wizarani au mtu kuhamishwa hamishwa wizara nk.
Sasa sisi waafrika tumekuwa tukiwapa watu post ambazo hawana ujuzi wala uzoefu nazo. Tukiamini kwamba kwa vile mtu anaitwa Doctor au Professor basi popote utapomuweka atafiti, matokeo yake mtu anakaa wizarani miaka miwili, mitatu Hadi mitano bila kufanya lolote la maana, maana mtu amewekwa katika sehemu asiyoweza kuimudu na kwa utamaduni wetu mtu hauwezi kukataa post unayopewa na raisi, vile vile mtu hushindwa kumwambia raisi ukweli kwamba post aliyopewa hana uzoefu nayo au hatoweza kuimudu. Yeye atakaa kimya mpaka siku aliemteua atapoona hakuna anachofanya na kumtoa au kumhamisha. Najua kwamba kuna wengine wana vipaji vya ku handle sehemu yoyote wanayowekwa, lakini hao ni wachache sana alafu kibaya huwa hawatulizwi pale wapopaweza.
Mfano mpaka leo watanzania wengi hatuelewi sababu ya raisi Samia kumtoa mchapa kazi Slaa kutoka wizara ya ardhi na kwenda kumtupa kwenye usemaji, au Kabudi kutoka sheria kutupwa katika wizara isiyoendana na taaluma yake. Mwisho wa siku itaonekana kuwa alipopelekwa hakuna anachokifanya, kumbe tatizo na kupelekwa katika post asiyoifahamu.
Mimi ningekuwa raisi Samia basi mabadiliko haya yangemrudisha Slaa ardhi maana tayari kelele za watu kuzulumiwa nyumba, viwanja nk zishaanza kurudi tena upya, huku waziri husika mhe, Ndejembi akiwa hana mbinu yoyote ya kuwadhibiti wezi hao wa ardhi. Clinic za kushughulikia kesi za ardhi ambazo zilianzishwa na waziri Slaa zimekufa kibudu zote, huku wezi wa ardhi wakitembea vifua mbele bila hofu yoyote.
Pia Kabudi angebaki wizara ya sheria na katiba.
Masauni tupa nje na Ndejembi angepewa mambo ya ndani.
Lakini kwa aina ya uteuzi ulivyofanyika ni kama vile washauri wa raisi, raisi mwenyewe pamoja na KMK wanafanya betting katika mambo ya msingi alaf baada ya mwezi mmoja tu au miwili wakiona mambo hayaendi watengue na kuteua tena. Nchi yetu Sasa nafasi nyeti zimekuwa ni za kufanyiwa majaribio... It's very very SAD!
PIA SOMA
- Rais Samia afanya uteuzi: Masauni aondolewa Wizara ya Mambo ya ndani, Kabudi apelekwa Wizara ya Habari na Michezo, Janabi kuwa mshauri wa Rais
Rais wwtu ni kama vile kanyaga twende tu.Niaje waungwana

Paul John 2025Mtambulishe mkuu tushughulike naye
Anajiloga mwenyeweKama dereva anarogwa, basi sisi abiria wake tumekwisha.
Nashukuru umenikabidhi mkuu, acha nishughulike naye
Na malengo hayo yanalenga maslahi ya chama au taifa?Kuelekea GE 2025, hakuna teuzi inafanywa bila malengo, Rais ni taasisi. Mamlaka ya uteuzi inajua sababu za kumwondoa mtu na kumteua mtu wizara/idara fulani
Kwa ufupi tu zaidi ya 80% ya watumishi waliopo kwenye serikali ya Samia hawana maarifa, hawana ujuzi Wala ubunifu wa aina yoyote ile kwenye nafasi wanazoteuliwa na hata yeye mwenyewe pia Yuko kwenye kundi Hilo Hilo, she's far way from being presidential material...Niaje waungwana
Naona raisi Samia kaendelea kuvuruga serikali yake mwenyewe bila kujua madhara yanayoweza kutokea kutokana na uvurugaji wake huo.
Ni kama vile kocha asiejua nafasi za wachezaji wake uwanjani kiasi ya kwamba golikipa anampanga kwenye ushambuliaji, mshambuliaji anapangwa kwenye ukipa, halaf beki anapelekwa kwenye ushambuliaji, mnafikiri team hiyo itaweza kupata ushaindi kweli?!
Binadam tumeumbwa kila mtu na kipaji chake. Ndomaana wenzetu wazungu wakikuona wewe akili yako inaelekea kwenye elimu basi wazazi watakusomesha kwa juhudi na bidii kwa sababu wanajua kwamba huko ndiko Mungu alipoamua akili yako ielekee, hivyo wakiku force kwnye michezo au biashara itakuwa ni kupoteza pesa na muda bure, kwani result yake baadae itakuwa ni tofauti na kipaji chako.
Hiivyo watakuendeleza kwa kile wanachoona kinaendana na akili au kipaji chako. Hakunaga mambo ya kulazimishana au kujaribishana katika sehemu ambayo mtu hafiti wala hana uzoefu nayo.
Mfano UK waziri mkuu unakuta anamteua waziri wa michezo ambae anaijua vizuri michezo, ni mfuatiliaji wa michezo na pengine aliwahi kabisa kuwa mchezaji. Hivyo akipewa nafasi ya wizara ya michezo ana uwezo wa kufanya mambo makubwa katika michezo kwa sababu ya uzoefu wake na kipaji chake katika michezo.
Hivyo hivyo kwa Marekani, Canada, Ujerumani nk mtu anateuliwa katika sehemu ambayo ana uzoefu nayo ili kuondoa kuzorota kwa shughuli za wizara na serikali kwa ujumla, hivyo ni vigumu sana kukuta ujinga ujinga wizarani au mtu kuhamishwa hamishwa wizara nk.
Sasa sisi waafrika tumekuwa tukiwapa watu post ambazo hawana ujuzi wala uzoefu nazo. Tukiamini kwamba kwa vile mtu anaitwa Doctor au Professor basi popote utapomuweka atafiti, matokeo yake mtu anakaa wizarani miaka miwili, mitatu Hadi mitano bila kufanya lolote la maana, maana mtu amewekwa katika sehemu asiyoweza kuimudu na kwa utamaduni wetu mtu hauwezi kukataa post unayopewa na raisi, vile vile mtu hushindwa kumwambia raisi ukweli kwamba post aliyopewa hana uzoefu nayo au hatoweza kuimudu. Yeye atakaa kimya mpaka siku aliemteua atapoona hakuna anachofanya na kumtoa au kumhamisha. Najua kwamba kuna wengine wana vipaji vya ku handle sehemu yoyote wanayowekwa, lakini hao ni wachache sana alafu kibaya huwa hawatulizwi pale wapopaweza.
Mfano mpaka leo watanzania wengi hatuelewi sababu ya raisi Samia kumtoa mchapa kazi Slaa kutoka wizara ya ardhi na kwenda kumtupa kwenye usemaji, au Kabudi kutoka sheria kutupwa katika wizara isiyoendana na taaluma yake. Mwisho wa siku itaonekana kuwa alipopelekwa hakuna anachokifanya, kumbe tatizo na kupelekwa katika post asiyoifahamu.
Mimi ningekuwa raisi Samia basi mabadiliko haya yangemrudisha Slaa ardhi maana tayari kelele za watu kuzulumiwa nyumba, viwanja nk zishaanza kurudi tena upya, huku waziri husika mhe, Ndejembi akiwa hana mbinu yoyote ya kuwadhibiti wezi hao wa ardhi. Clinic za kushughulikia kesi za ardhi ambazo zilianzishwa na waziri Slaa zimekufa kibudu zote, huku wezi wa ardhi wakitembea vifua mbele bila hofu yoyote.
Pia Kabudi angebaki wizara ya sheria na katiba.
Masauni tupa nje na Ndejembi angepewa mambo ya ndani.
Lakini kwa aina ya uteuzi ulivyofanyika ni kama vile washauri wa raisi, raisi mwenyewe pamoja na KMK wanafanya betting katika mambo ya msingi alaf baada ya mwezi mmoja tu au miwili wakiona mambo hayaendi watengue na kuteua tena. Nchi yetu Sasa nafasi nyeti zimekuwa ni za kufanyiwa majaribio... It's very very SAD!
PIA SOMA
- Rais Samia afanya uteuzi: Masauni aondolewa Wizara ya Mambo ya ndani, Kabudi apelekwa Wizara ya Habari na Michezo, Janabi kuwa mshauri wa Rais
Raisi amekuwa kama kocha asiejua wachezaji wake. Mshambuliaji kama Mbwana Samata unampanga kwenye ukipa, halaf golikipa anapangwa kwenye ushambuliaji.Rais wwtu ni kama vile kanyaga twende tu.
1. Utamtoaje Kabudi kwenye katiba na sheria hala mbadala ni yule Ndumbaro aliyemwondoa awali?
2. Bashungwa amekuwa mzururaji wa wizars, ni lini atatulia aijue wizara na kuitumikia?
Usisahau kuwa mamlaka ya teuzi nao ni binadam ambao wanaweza kukosea na kusahihishwa kama hivi.Kuelekea GE 2025, hakuna teuzi inafanywa bila malengo, Rais ni taasisi. Mamlaka ya uteuzi inajua sababu za kumwondoa mtu na kumteua mtu wizara/idara fulani
🤔Ndio maana Rais anakuwa na washauri ,Kuna sehemu hata asiposhauriwa pataonekana panavuja hivyo tiba ni kurekebisha au kutatua sio kuhamisha tatizo sehemu nyingineWaziri sio mtendaji Mkuu wa wizara kijana, kwa Mantiki hio Rais awe mtaalam wa vitu vyote?