Sikubaliani na aina ya mabadiliko ya viongozi uliofanywa na Rais Samia. Washauri wake wamempoteza

Kwa dunia ya sasa leadership bila expertism katika eneo husika ni kupuyanga tu.

Hizi mambo zilikuwaga zamani oo anaendea kutoa uongozi tu. Lakin kwa dunia ya leo inahitaji hata huyo kiongozi kiufundi awe anafahamu vitu.
Kwa hapa kwetu ili upewe nafasi ya uongozi wizarani unahitaji vitu viwili.
1. Uchawa
2. U CCM
Ndiomaana unakuta watu wanachomekwa katika nafasi ambazo hata hawana ujuzi nazo ilimradi tu muda mwingi huwa anakesha kumsifu raisi na CCM. Swala la kupangwa sehemu ambayo mtu ataimudu kwa faida ya taifa sisi viongozi wetu huwa hawalizingatii.
 
 
Rais wwtu ni kama vile kanyaga twende tu.
1. Utamtoaje Kabudi kwenye katiba na sheria hala mbadala ni yule Ndumbaro aliyemwondoa awali?

2. Bashungwa amekuwa mzururaji wa wizars, ni lini atatulia aijue wizara na kuitumikia?
 
Kwa ufupi tu zaidi ya 80% ya watumishi waliopo kwenye serikali ya Samia hawana maarifa, hawana ujuzi Wala ubunifu wa aina yoyote ile kwenye nafasi wanazoteuliwa na hata yeye mwenyewe pia Yuko kwenye kundi Hilo Hilo, she's far way from being presidential material...

Ni machawa tu na majizi/mafisadi ndio yanamuona Samia ana sifa za kuwa raisi, ila hata wao wenyewe deep down wanajua kabisa hapa hakuna raisi tuna geresha tu au kimvuli Cha raisi.

Kuhusu kuenguliwa kwa Jerry Slaa kwenye wizara ya aridhi, Hilo lilionekana mapema sana, kosa lake kubwa alikuwa ni mpenda haki na mchapa kazi kitu ambacho mwiko kwa hii serikali ya Sasa, hii serikali ya Sasa sifa kuu ya mtumishi inatakiwa uwe ni mtu wa rushwa sana na unawakingia kifua wadhulumati dhidi ya raia wanyonge...!! Acha mafisadi yaishi kwa Raha huku yakilambwa makalio na machawa.
 
Rais wwtu ni kama vile kanyaga twende tu.
1. Utamtoaje Kabudi kwenye katiba na sheria hala mbadala ni yule Ndumbaro aliyemwondoa awali?

2. Bashungwa amekuwa mzururaji wa wizars, ni lini atatulia aijue wizara na kuitumikia?
Raisi amekuwa kama kocha asiejua wachezaji wake. Mshambuliaji kama Mbwana Samata unampanga kwenye ukipa, halaf golikipa anapangwa kwenye ushambuliaji.

Kweli hapo team itashindwa kufungwa?!
 
Kuelekea GE 2025, hakuna teuzi inafanywa bila malengo, Rais ni taasisi. Mamlaka ya uteuzi inajua sababu za kumwondoa mtu na kumteua mtu wizara/idara fulani
Usisahau kuwa mamlaka ya teuzi nao ni binadam ambao wanaweza kukosea na kusahihishwa kama hivi.

Ndomaana unakuta mamlaka inamteua mtu wizara hii, kesho inamtoa na kumpeleka kwengine baada ya kugundua kuwa kule walikobahatisha kumpeleka hakufit vizuri.
 
Waziri sio mtendaji Mkuu wa wizara kijana, kwa Mantiki hio Rais awe mtaalam wa vitu vyote?
🤔Ndio maana Rais anakuwa na washauri ,Kuna sehemu hata asiposhauriwa pataonekana panavuja hivyo tiba ni kurekebisha au kutatua sio kuhamisha tatizo sehemu nyingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…