Sikujua, kumbe Bakhresa anakopa mikopo ya riba kwenye benki za biashara

Sikujua, kumbe Bakhresa anakopa mikopo ya riba kwenye benki za biashara

Waislamu feki wasiojielewa ndio hawakopi
Halafu utakuta wao hawakopi halafu mbio wanaenda kwa Bakhresa au Mo Dewji awape msaada kujenga misikiti au madrasa au awasaidie.Wakati benki zipo na wao hawataki kukopa lakini biashara za Azam na Mo zikistawi sababu ya mikopo.wao mbio kutaka wapewe msaada ikiwemo kufuturishwa Ramadhani nk

siku za ijumaa hujaa wakiomba misaada na huku wakiwaombea dua ndeeefu za kuwa wazidi kubarikiwa kwenye biashara zao zilizojengwa na mikopo ya riba.
Inafikirisha sana
 
Ubepari ni ubinafsi. Na ubinafsi ndiyo tabia asili ya mwanadamu.
Kutaka kufanya ujamaa ni ujinga na kwenda kinyume na tabia asili ya binadamu ambayo ni ubinafsi aka ubepari
Eti wanasema we share what we have ,cost sharing hoja ya kijinga sna watu hawafanyi kazi kusubiri watu wengine wafnaye kwa nianba yao
 
Ufahamu wako mdogo ingawa unajitia kujua jua mambo,haya nitajie mganga ni mtu wa namna gani?tena kwa kiswahili kisha ulete andiko kutoka kwenye kitabu chako biblia linalo pinga mtu kuwa mganga tena wa kienyeji
Waganga wengi wanatumia quran na majini wazuri kufanya shughuli zao za kiganga nenda pemba ujionee
 
Akili kubwa wewe Bora uwe bepari ujamaa Ni upuUZ MKUBWA
Utazidi kutapa tapa tu mala ubepali mala ujamaa,alie chaguliwa kuwa tajiri ujamaa aumzuii kuwa tajiri,sema wewe kuchaguliwa hata baba yako na nduguzo utaishia kusingizia ujamaa tu mala umezeeka bila hata kuku wala [emoji1658]
 
Mikopo hua wanachukua sana tu mara ya mwiso mo dewji kwenye interview moja hivi alisema anadaiwa karibu 5B sababu ya mkopo
Mnatakiwa mjue kwamba mfanyabiashara nguli hatumii pesa binafsi, ukiwa na milioni 100 kwa mfano unakopa milioni 50 bank unafanyia biashara, hapo kwenye akaunti yako bado 100 yako ipo palepale mpaka biashara itakapokushinda ufilisike. ndivyo wanafanya wafanyabiashara wakubwa.
 
Waganga wengi wanatumia quran na majini wazuri kufanya shughuli zao za kiganga nenda pemba ujionee
Lete picha ya majini tuone kama unasema kweli,mkirito hata akiona gazeti lililo andikwa kwa kiarabu au kitabu udhani qur,an lete andiko kutoka kwenye biblia linalo kataza mtu kuwa mganga
 
Lete picha ya majini tuone kama unasema kweli,mkirito hata akiona gazeti lililo andikwa kwa kiarabu au kitabu udhani qur,an lete andiko kutoka kwenye biblia linalo kataza mtu kuwa mganga
Mkuu nimeishi pemba miaka 5 kikazu nauhakika na nachoongea
 
Kama kapuuza msiende kwenda kuomba michango ya ujenzi wa misikiti au madrasa au kufuturishwa Ramadhani au kuomba asaidie wahitaji na kupanga foleni akitokea iwe msikitini ,nyumbani au barabarani au popote kuzitendea haki nafsi zenu
Hakuna mtu aliye wahi kwenda kuomba bali yeye ndo huwa anawaita kwenda kupokea.
Kwani wote wanao toa misaada na ni wada dini?
Mbona akina billget ni mawakala wa kusambaza ushoga na bado mnapokea misaada yake.
Au nyinyi kila tajiri anaye toa sadaka kanisani mwenu huwa mna mhoji amezitoa wapi au amezipataje?
 
Back
Top Bottom