25000q
JF-Expert Member
- Dec 27, 2022
- 4,805
- 3,762
Ujinga wako tu utachangiaje msikiti hali yakuwa waisilamu unawapiga vita?Kuna shehe kapita hapa kaniomba nichangie msikiti na nimechangia msikiti na sio muislamu hapo unasemaje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ujinga wako tu utachangiaje msikiti hali yakuwa waisilamu unawapiga vita?Kuna shehe kapita hapa kaniomba nichangie msikiti na nimechangia msikiti na sio muislamu hapo unasemaje
Labda usiwe mfanya biashara/mjasiriamali! 😄Mikopo ya mabeberu haikwepeki hata uwe ustadh vipi!
Hakuna muisilamu wa kwenda kujichanganya kwenye ibada za kishirikina hao wametengenezwa tu ni washirikina wenzenu haoJuzi nilienda kwa mwamposa waislamu ndo walikua wengi wakipata uponyaji
Sio uelewa wangu bali huo ndio ufahamu wako na wenzioDuuh kwahiyo kwa uelewa wako wewe mtu kukopa kwa riba ndio kuwa tajiri
Kama ilivyo kwa waganga wengi wa kienyeji ni masheheHakuna muisilamu wa kwenda kujichanganya kwenye ibada za kishirikina hao wametengenezwa tu ni washirikina wenzenu hao
Inafikirisha sanaWaislamu feki wasiojielewa ndio hawakopi
Halafu utakuta wao hawakopi halafu mbio wanaenda kwa Bakhresa au Mo Dewji awape msaada kujenga misikiti au madrasa au awasaidie.Wakati benki zipo na wao hawataki kukopa lakini biashara za Azam na Mo zikistawi sababu ya mikopo.wao mbio kutaka wapewe msaada ikiwemo kufuturishwa Ramadhani nk
siku za ijumaa hujaa wakiomba misaada na huku wakiwaombea dua ndeeefu za kuwa wazidi kubarikiwa kwenye biashara zao zilizojengwa na mikopo ya riba.
Akili kubwa wewe Bora uwe bepari ujamaa Ni upuUZ MKUBWAUbepari ni ubinafsi. Na ubinafsi ndiyo tabia asili ya mwanadamu.
Kutaka kufanya ujamaa ni ujinga na kwenda kinyume na tabia asili ya binadamu ambayo ni ubinafsi aka ubepari
Eti wanasema we share what we have ,cost sharing hoja ya kijinga sna watu hawafanyi kazi kusubiri watu wengine wafnaye kwa nianba yaoUbepari ni ubinafsi. Na ubinafsi ndiyo tabia asili ya mwanadamu.
Kutaka kufanya ujamaa ni ujinga na kwenda kinyume na tabia asili ya binadamu ambayo ni ubinafsi aka ubepari
Ufahamu wako mdogo ingawa unajitia kujua jua mambo,haya nitajie mganga ni mtu wa namna gani?tena kwa kiswahili kisha ulete andiko kutoka kwenye kitabu chako biblia linalo pinga mtu kuwa mganga tena wa kienyejiKama ilivyo kwa waganga wengi wa kienyeji ni mashehe
Waganga wengi wanatumia quran na majini wazuri kufanya shughuli zao za kiganga nenda pemba ujioneeUfahamu wako mdogo ingawa unajitia kujua jua mambo,haya nitajie mganga ni mtu wa namna gani?tena kwa kiswahili kisha ulete andiko kutoka kwenye kitabu chako biblia linalo pinga mtu kuwa mganga tena wa kienyeji
Utazidi kutapa tapa tu mala ubepali mala ujamaa,alie chaguliwa kuwa tajiri ujamaa aumzuii kuwa tajiri,sema wewe kuchaguliwa hata baba yako na nduguzo utaishia kusingizia ujamaa tu mala umezeeka bila hata kuku wala [emoji1658]Akili kubwa wewe Bora uwe bepari ujamaa Ni upuUZ MKUBWA
Mnatakiwa mjue kwamba mfanyabiashara nguli hatumii pesa binafsi, ukiwa na milioni 100 kwa mfano unakopa milioni 50 bank unafanyia biashara, hapo kwenye akaunti yako bado 100 yako ipo palepale mpaka biashara itakapokushinda ufilisike. ndivyo wanafanya wafanyabiashara wakubwa.Mikopo hua wanachukua sana tu mara ya mwiso mo dewji kwenye interview moja hivi alisema anadaiwa karibu 5B sababu ya mkopo
Lete picha ya majini tuone kama unasema kweli,mkirito hata akiona gazeti lililo andikwa kwa kiarabu au kitabu udhani qur,an lete andiko kutoka kwenye biblia linalo kataza mtu kuwa mgangaWaganga wengi wanatumia quran na majini wazuri kufanya shughuli zao za kiganga nenda pemba ujionee
Mkuu nimeishi pemba miaka 5 kikazu nauhakika na nachoongeaLete picha ya majini tuone kama unasema kweli,mkirito hata akiona gazeti lililo andikwa kwa kiarabu au kitabu udhani qur,an lete andiko kutoka kwenye biblia linalo kataza mtu kuwa mganga
Hakuna mtu aliye wahi kwenda kuomba bali yeye ndo huwa anawaita kwenda kupokea.Kama kapuuza msiende kwenda kuomba michango ya ujenzi wa misikiti au madrasa au kufuturishwa Ramadhani au kuomba asaidie wahitaji na kupanga foleni akitokea iwe msikitini ,nyumbani au barabarani au popote kuzitendea haki nafsi zenu
Kwa mfano wanachofanya. Wanakupa hela unaenda kununua mfano mahindi ukija kuuza mnagawana faida. Ni riba imebatizwa jina lingine tu.Tueleze riba yaizo benki za kiisilamu ni asilimia ngapi?
Kwa hiyo huyo Baghareesa aliye muongelea si baba wa watu?Maswala ya baba yake yanaingiaje ni jinsi gani ulivyo mjinga