Silaa, Polepole na Gwajima waitwa Kamati Kuu ya CCM kujieleza

Wasukuma tulishaamua,, Gwajima ndie rais ajaye 2025,,

Kwa uingi wetu na kwa nafasi nyeti tulizonazo katika mamlaka za nchi,,
 
Kukosoa iwe kwa nidhamu na siyo kuzusha yasiyokuwepo kana kwamba hao wakosoaji wao ni malaika.
 
Wito huu ni muhimu sana, kilichobaki ni CCM kuonyesha uwezo wa kuwashikisha adabu.

Mtu huwezi kumdharau rais wa JMT na Mwenyekiti wa CCM. Najua wote watapiga magoti kuomba msamaha, nashauri kwa Polepole na Gwajima, msamaha wao iwe ni kuchanja hadharani, kisha wawahamasishe wafuasi wao kuchanja. Jerry Slaa asamehewe tuu bila masharti.
P
 
Ndio maana nikakwambia muulize babaako mambo haya. Wewe huyawezi. Yesu Kristu aliyefariki miaka zaidi ya elfu mbili iliyopita hayupo juu? Mtume Muhammad (SAW) aliyefariki zaidi ya miaka 1400AD hayupo juu?

Akili gani hii ya wakina LUGORA kumfananisha Jiwe na Yesu Kristo na Mtume Muhammad[SAW]? Huu ni upunguani!!!
 
Wewe ni wa kuupuza tu
 
Tukumbushe kipind chenu cha awamu ya gwara mtu akiwakosoa mlikua mnamfanyaje? Pili.. umesema rushwa zinarud kama za escrow kutokana na mgao wa umeme. Je unashaur chuma kirudi??
 
Umeongea ukweli kabisa.

Mimi ni mwana CCM lakini naona tunakoelekea kwa hovyo.

Kumzima mtu asiongee ni hatari sana, pia hawa TCRA wanapaswa wasiwe wanasiasa, wanakosa weledi.

Najua Polepole anaweza kufukuzwa uanachama that's my deep hope.ninayoiona.

Ni hatari sana mtu kutoa maoni kisha akanyamazishwa kisa cheo.

Mfano Slaa kosa lake ni nini hasa? Kwanini hawa watu wasijibiwe hoja zao? Kwanini wamekuwa attacked badala ya wahusika kujibu hoja?

Kwa dhati hii inaonyesha jinsi gani bado taifa letu ni changa sana inapofika kwenye suala la demokrasia!! Just imagine kama CCM wenyewe tunazibana midomo what about the opposition parties? This is not good at all.

Yetu macho.
 
Kinachomcost ndugu Polepole ni kutokubaliana na mazingira kuwa zama za aliyokuwa nayo ndani ya chama kipindi cha Magu ni tofauti na zama hizi akiwa mbunge.
 

Haya ni matunda ya siasa chafu za Magufuli. Hivyo vuneni mlichokuwa mnashangilia akikipanda. Safari huu sukuma gang mtajua hamjui.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…