Silaha za Urusi ni bora kuliko za Marekani, ni kimbilio la mataifa mengi kuanzia sasa

Bila silaha za magharibi. Kyiv ingetekwa ndani ya siku tatu hadi nne.

bila silaha za magharibi Israel isingeshinda vita na mataifa ya waarabu ndani ya siku sita
.
Bila silaha za Magharibi marekani asingekua na uwezo wa kua na historia ya kupigana na mataifa zaid ya 100+.

Bila silaha za magharibi Taiwan ingeshachukuliwa na china kesho tu asubuhi.

Bila silaha za magharibi kusingekua na korea mbili kaskazin na kusini.

Bila silaha za magharibi Andunje asingetishia kutumia Nukes.

Malizia Bila nyingine unayoijua wewe.
 
Mkuu hapo kuna MH na pirate gun iyo ya katikati

Ni silaha bora sanaa
 

Attachments

  • Screenshot_20220616_134619~2.jpg
    49.1 KB · Views: 12
Kubwa jinga wew

Sent from my Nokia 4.2 using JamiiForums mobile app
 
Kaka hakuna taifa linataka patriots tena ya kimarekani. Kaka huko Uarabuni walikuwa wanatumia silaha ya magharibi kama ufaranza na uingereza na soviet ileeee. Urusi ya sasa sio kama ile ya kisoviet, imeboresha vyuma vyake. Marekani iliiandaa Ukraine kupigana tangu 2014 kwa kupeleka silaha za kisasa kabisa na kuendesha mafunzo ya hali ya juu na kujenga vituo vya kisasa kabisa vya kijeshi. Vituo vyote vile vimepigwa na Mrusi kama mchezo tu. Kule Kyiv alishambulia maeneo muhimu tu ya kimkakati ya marekani kama vile bohari za silaha, kambi za mafunzo na viwanja vya ndege baaasi. Mifumo ya ulinzi ya kimarekani inashindwa kutambua na kuzuia missiles za Urusi, wanashitukia moto unawaka kwenye targets.

Kaka Urusi iko mbele kwenye IT kuliko marekani, anaweza kuzima satellites zote za marekani na kusababisha hali mbaya sana kwenye uwanja wa vita upande wa adui. Urusi inaweza kuingilia mifumo ya marekani ya mawasiliano na taarifa. Vita imemchukua Mrusi muda mrefu kwako nia yao sio vita bali ni special operation ya kusaidia majimbo yenye watu wanaoongea kirusi kule Donmbass. Kama ingekuwa vita basi angeweza kuteka Ukraine yote ndani ya siku 3 tu, ila hapendi kuiharibu sana ukraine kwakuwa sio nia yake, hataki kuua watu na ndio maana anatumia high precision missiles kulenga targets tu baasi.
 
Javline zimekutana na kitu kinaitwa tik tok cha mrusi sasa hivi ukibonyeza kitufe tu cha javline wewe mwenyewe unakwenda na maji
Duh tiktok Tena? Sio tiktok bwana Ni teminator mkuu
 
tumia akili bila msaads huo mdogo Kwa uwezo wa Ukraine angekuwa kafail vita so lzm utambue msaada wa Javelin kweny vita
Urusi anakwambia yeye wao hawako kwenye vita na Ukraine bali wana special operation ya kuwalinda wanaozungumza Kirusi nchi Ukraine ambao wanaangamizwa na Ukraine kwa msaada wa nchi za Magharibi na Marekani. Kama ingekuwa vita angeshaitwaa Ukraine siku nyingi sana. Sikiliza hapa na mkwara wake kwa Uingereza
 
Mbona wamarekani wanakamatwa kama kuku mzee?

 
Ukweli vita hii ni mitego mkubwa sana kinachotafutwa hapa ni Marekani aingie katika uwanja wa vita,awachane na hili la kusaidia hela apelekea silaha,ukweli silaha zote anazopeleka nyingi mno zinalipuliwa zikiwa kwenye makonteina au zilipofikia na kuhifadhiwa, inteljensia ya urusi ndani ya Ukraine ni kubwa sana. Zinapofikia silaha na kuhifadhiwa Moscow wanapata habari.kuna hizi silaha zinazotumia kutumwa kwa gps,warusi wanajua pindi tu silaha hio itakapoamuliwa kurushwa inakwenda wapi na wanachokifanya ni kuiteka ile streem ya maelkezo na kuyarudisha au kuyaelekeza makombora hayo kwenda wanapotaka wao warusi walio ndani ya control room.
Ndio ukaona siku hizi ukraine wanatumia silaha za kusukumiza tu au kuvurumisha watajuana hukohuko litakakotua ,hawatumii kama pale mwanzo spesho target.
 
Urusi wako mbele zaidi kwenye taaluma ya mawasiliano kuliko marekani, ndio maana Marekani wenyewe kwa vinywa vyao wanakiri kuwa Urusi unawachagulia Marais kwa kuingia kwenye mifumo yao ya kupiga na kuhesabu kura. Vyombo vya anga za juu vya Marekani vinamtegemea Mrusi (Sayuz) na technolojia nyingine huko angani. Ndiyo maana Urusi anasema kuwa yeye bado kupigana vita kule Ukraine, yaani ile ni special operation tu inayojali maisha na miundombinu ya kijamii. Targrt yake kule urusi na miundombinu ya kijeshi tu. Sema tu Zelensky alifanya kosa moja la kuwatumia raia kama wanajeshi kwa kuwapa silaha wapigane na kujilinda, kitu kilichosababisha urusi iyalenga makazi yao pia ambako milio ya bunduki ilikuwa ikisikika.
 
Ule msururu wa vifaru vya urusi ambavyo vilipangana kama nzega viliishia wapi vile? je unayo taarifa kila baada ya saa 24 Urusi hupoteza askari 250?? Nini kilimkimbiza Russia Kyiv?
 
Ukumbuke NATO ni 30 countries against 1(Russia).
So kwa takwimu hizo umadhani nani yuko juu?
Huyo jamaa aliyekua anasema NATO weapons si chochote, nimemletea takwim anasema anataka vitendo sio takwim. Haeleweki
 
Silaha za NATO ni kwa ajili ya mazoezi tu, siyo battle field
Niamini mimi, ile safari ya Mais wa Ujerumani, Ufaransa, Italy na Romania kwenda Ukraine ni kwa lengo la kusitisha mapigano, yaani wamekwenda kumwambia Zelensky aache utoto atakufa bure na miji yake itaendelea kupondwapondwa na Mrusi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…