Silaha za Urusi ni bora kuliko za Marekani, ni kimbilio la mataifa mengi kuanzia sasa

Ukraine haiko NATO, EU wala interests za wests hazijaguswa unaingiaje kupigana?

Unauhakika ulivuka chekechea maana reasoning yako inatia wasiwasi
 
tumia akili bila msaads huo mdogo Kwa uwezo wa Ukraine angekuwa kafail vita so lzm utambue msaada wa Javelin kweny vita
Watu wasichokifahamu ni kwamba NATO kupitia Marekani, UK na Poland waliingia siku nyingi kule Ukraine kujiandaa na vita hii ya Sasa, kabla ya mwaka 2014. Walipeleka siliha nyingi za kisasa na mifumo ya ulinzi ya kisasa kabisa dhidi ya Russia. Waliimarisha Kambi za jeshi kila pahala muhimu, lakini silaha, mifumo ya ulinzi na maghala yote muhimu vililipuliwa vyote siku ya kwanza TU ya uvamizi wa Russia nchini Ukraine. Jambo hili liliwaduwaza Marekani na UK na NATO nzima.
 
Tupe source yako ya habari hizi, maana unaongea kama vile wewe ni Waziri wa Ulinzi wa India. Hakuna nchi inaweka mipango yake ya kijeshi kama hivyo unavyosema wewe hapa. Kinachoichelewesha Russia pale donmbas ni raia wake. Urusi inaiona Ukraine kama sehemu ya Urusi ndio maana inatumia silaha zenue uwezo mkubwa sana wa kulenga targets TU. Kama ukrine isingefanya ujinga wa kuwatumia raia kama ngao ya kivita huenda asingekufa hata raia mmoja.
 
Km hizo data ni sahih kwa nin us anakataa kutimiza matakwa ya zele kuhusu anga la Ukraine
 
Km hizo data ni sahih kwa nin us anakataa kutimiza matakwa ya zele kuhusu anga la Ukraine

Unaingia anga la ukraine means unajiunga na vita. How stupid can the US be ku escalate into full scale nuclear exchange? for fun au for what gain ?


Any NATO boots on Ukraine's ground is bullying action kwa Russia. It means wanamdharau. Russia atatumia Nuclear kuipiga Ukraine. NATO watakua forced nao kutumia nuclear and what is the end? You sit back and provide just weapons support kama kweli unatoa msaada na sio millitary forces.
 
Kakaaa, wewe uko hapo Tandale unakula mahindi choma. Wasikilize wamarekani wenyewe wanasema nini kuhusu jeshi lao dhidi ya lile la Urusi na China


 
 
Wewe mbona hauongei uhalisia
 
Marekani kapigana vita 100 wap!?
 
Humu kumejaa ushabiki tu.
Muda utakuwa mwalimu mzuri, mimi nasubiri.
Ngoja nisubiri 23% ya mama july huku nikipiga kitu changu cha ugali mlenda hapa bila kusahau mihogo na kiporo cha wali.
 
Kavulata sijui habari zako unachukua wapi? Sioni nchi zinazohamia upande wa silaha za kirusi. Una data zozote? Lete
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…