Mtasema wale wameendelea sana hizi hapa kenya yani kutoka Nairobi hadi Kiambu kuna njia ya hiviKuna picha imetumwa hapa ya barabara za Texas, tuwe nazo kama hizo.
Mabasi ya nini we mtu pori? 😅Kuna haja ya Serikali kufikilia upya juu ya ruhusa yao ya route za usiku haya Ma bus ya habiria aise.
Ume reply tu ama kuna kitu ulitaka kukirekebisha maana sioni hoja yakoKumbuka mazoea hujenga Tabia. Kwani kuna ubaya gani hadi useme ni Ukoloni?
Umewahi kuwa dereva?Breki tia maji tia maji ndo ubovu wenyewe wa magari naosemea.
Uko sahihi - ni Serikali. Serikali unao wajibu wa kuwasimamia Watumishi wa Umma ili watekeleze majukumu yao ipasavyo na kwa usahihi.Huo udhaifu wa trafiki nani anashughulikia? Sio serikali ?.
Sichekeshi mkuu. Ninyi mlioko huko Tanzania mnashindwa kututambua na sisi tulioko huku Tanganyika yan ni kama kusema aliyeshiba hamjui mwenye njaa. Tulicho nacho huku ndicho tunachweza kukitumia na kukilinganisha na kwengine. Ninyi msisahau hii nchi ni yetu sote na matamanio ya uwepo wa barabara nzuri zaidi na zaidi ni yetu sote. Serikali ndo hiyo tunaijua sote.Na unaposema tulinganishe barabara za kijijini unachekesha mkuu. Yaani tulinganishe kibovu na kibovu zaidi ili tujipe moyo kwamba tuko vizuri.
Naam! Comparatively, Nchini Tz, barabara za vijijini ni mbovu mno ukilinganisha na zile za maeneo ya mijini. Ingelipendeza zaidi barabara za vijijini kuimarishwa kwanza kabla ya zile za mijini ili kuweka walau uwiano ulioTanzania barabara ni za hovyooo kuliko neno hovyo lenyewe. Na hata huko kijijini barabara zilitakiwa ziwe za kueleweka,hakuna sababu inayohalalisha wananchi wa kijijini kuwa na barabara za hovyoo.
Mkuu, hayo mazoea eti" unaweza kutoka hapa hadi hapa ukiwa na breki mbovu mnoo" ndo yanaleta ajali. Hata huyu dereva wa lori sio mara yake ya kwanza kuovertake sehemu ya hivyo, ila kwa sababu ni mazoea alijipa moyo na matokeo yake ndo ajali. Na usisahau ile ajalai iliyotokea Sekenke hivi karibuni chanzo ilikuwa breki kufeli. Hata hapa tunavyoongea kuna dereva anafanya kosa barabarani kimazoea na ajali haitokei. Tukitaka usalama,lazima tufuate sheria zote sio kupotezea zile ambazo zinaleta ajali chache.Umewahi kuwa dereva?
Dereva anaweza kutoka na gari Tunduma hadi kwa mafundi wa malori Mikumi akiwa na breki hafifu mno
Ungekuwa umewahi kuishi Tanangozi au Ilula hizi zingekuwa sio story zako maana ni maisha ambayo ungeishi
Mwendo kasi, overtaking kwenye hivi vibarabara viwili, humps, na ubovu wa barabara zilizo nyingi ndio chanzo cha ajali mengine majaliwa tu
Mara wanalalamika polisi wengi barabaraniHawa madereva ni tatizo, wakikatwa point wanaanza kususa..!!
Basi mkuu tusiseme barabara hizi ni nzuri hizi ni mbaya, barabara zote ni mbaya hakuna za kueleweka sio mjini sio kijijini.Uko sahihi - ni Serikali. Serikali unao wajibu wa kuwasimamia Watumishi wa Umma ili watekeleze majukumu yao ipasavyo na kwa usahihi.
Sichekeshi mkuu. Ninyi mlioko huko Tanzania mnashindwa kututambua na sisi tulioko huku Tanganyika yan ni kama kusema aliyeshiba hamjui mwenye njaa. Tulicho nacho huku ndicho tunachweza kukitumia na kukilinganisha na kwengine. Ninyi msisahau hii nchi ni yetu sote na matamanio ya uwepo wa barabara nzuri zaidi na zaidi ni yetu sote. Serikali ndo hiyo tunaijua sote.
Naam! Comparatively, Nchini Tz, barabara za vijijini ni mbovu mno ukilinganisha na zile za maeneo ya mijini. Ingelipendeza zaidi barabara za vijijini kuimarishwa kwanza kabla ya zile za mijini ili kuweka walau uwiano ulio
sawa.
Hoja yangu ni kukereka kwa kusema ni Ukoloni i.e. we didn't have a choice tulipangiwa na kama ni lawama basi zielekezwe kwa wakoloni ilhali kama taifa tuna umri wa 65 yrs tuko huru kufanya yetu kama tutakavyo lakini bado tunawatamka Wakoloni.Ume reply tu ama kuna kitu ulitaka kukirekebisha maana sioni hoja yako
Hao Polisi wawe na weledi kwanza, waache kupokea rushwa na kuonea watu then ndo tuongee.Mara wanalalamika polisi wengi barabarani
Wakiachwa tena wanalalamikiwa askari kuwa hawawasimamii yaani.
Ukijua unaenda kufa utaendelea na safari?
Zinaitajika helaBarabara mbili ( wawili kwenda wawili kurudi) ndio suluhisho maana ukifuatilia ajali nyingi na ambazo huwa mbaya sana ni za uso kwa uso, lakini ndio hivyo zinahitajika hela .
Kila mtu ajiandaesi ajabu kuna jf member mwenzetu kati ya hao marehemu, na id yake itasoma last seen jana,...
maisha ni fumbo ...😔🥲
Ni kweli kama tukiweka kipimio(Yard stick) kimoja. Sisi humu ndani tujue tu kwamba kwa hoja ya barabara; tunazidiana tu kwa viwango vya ubaya/ubovuBasi mkuu tusiseme barabara hizi ni nzuri hizi ni mbaya, barabara zote ni mbaya hakuna za kueleweka sio mjini sio kijijini.
ku overtake ni mazoea au ni sheria yani unafundishwa kabisa ku overtake na unapewa sheria?Mkuu, hayo mazoea eti" unaweza kutoka hapa hadi hapa ukiwa na breki mbovu mnoo" ndo yanaleta ajali. Hata huyu dereva wa lori sio mara yake ya kwanza kuovertake sehemu ya hivyo, ila kwa sababu ni mazoea alijipa moyo na matokeo yake ndo ajali.
Kufeli breki hakusababishwi na ubovu wa gari, gari lako unaweza kulinunua leo hii na likafeli breki.Na usisahau ile ajalai iliyotokea Sekenke hivi karibuni chanzo ilikuwa breki kufeli. Hata hapa tunavyoongea kuna dereva anafanya kosa barabarani kimazoea na ajali haitokei. Tukitaka usalama,lazima tufuate sheria zote sio kupotezea zile ambazo zinaleta ajali chache.
Unaovateki kuyapita magari zaidi ya Moja bila tahadhariKifo ni fumbo kubwa, poleni wafiwa wote....Kila leo uzembe unachangia vifo hivi ambavyo vingeweza kuepukika.....Sad.