Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 9,869
- 32,712
Nami nimeshangaa sana hiki kitu, refa mfano ile Offside anaenda kuangalia VAR na kuna watu kwaajili hiyo. Kosa la refa wameliona lipi. Waache lawama, bora Yanga lile lilikuwa goal si hili la offside kabisa.Yanataka kumwangushia lawama refa. Typical loser mentality! ๐ฎ
Afu alikuwa ana tanua kifuaHuna rekodi ya kushinda mechi ya fainali
Mwarabu anawavua kyupi๐ ๐๐ ๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐eti hii tunabeba
Usituhusishe waafrica wote, matatizo yenu mbaki nayo wenyewe...Ndo soka la Africa hilo mkuu.Uhuni usanii mwingi.Simba kafanyiwa uhuni wa kila aina.
Mnyama kaupiga mwingi mnooo. Hongera sana Simbaa.Toka mwanzo refa ametutoa mchezoni.
SimbaSC NguvuMoja
NILISEMA HAMKUSIKIAGoli dak93 lakini sijui timu gani itafunga!
Aahah. Inahitajika uchawi wa nigerYaani kila dakik moja iliyobaki simba afunge moja now ili ashinde ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Hii game inahusiana vipi na hayo unayoyasema wewe boya tu. Unataka kila mtu awaze kama wewe?Safi sana simba na Yanga ni matakataka yanatumiwa kupumbaza wasidai utawala bora na tume huru ya katiba dawa ni haya matimu yaendelee kupigwa mpaka yakome
Waleko MsalamoSamaleeekoooo
Tanzania tumekuwa tunalaumu ma-refa kila tunapofungwa tangu miaka ya 1980........ Hatujui mpira badala ya kujifunza tunadhani mambo yanakuja yenyewe.Ukumanyoko wa refa mwingi sana kwenye hii fainali