Simba 1-1 RS Berkane| Agg: Simba 1-3 RS Berkane | RS Berkane Bingwa CAFCC 2024/205

25 May 2025
FINALE CAFCC 2024 / 25
Amaan Stadium,
Zanzibar

Dakika 90' + 9' FULL TIME

SIMBA SC 1 - 1 RS BERKANE

Mvua sasa inanyesha hapa Amaan Stadium na kuzidi kuwa nyongonyesha mashabiki, siku hii ya finali ya CAF Confederation Cup ya 2024 / 2025

FULL TIME AGGREGATE RESULT:
SIMBA SC 1 - 3 RS BERKANE
 
Simba na Yanga ni matakataka yanatumiwa kupumbaza watanzania wasidai tume huru na katiba mpya wamekalia kusifia goli la mama ukiyaita barabarani kudai maswala ya muhimu hayaji ila kwenye simba na Yanga yanajazana pigeni nyingi hawa pigeni za kutosha
 
Unanufaika nini sasa? Huna tofauti na refa.
 
Wanafiki mnatoka mashimoni...mashabiki ya yanga yamemikera sana
 
𝐅𝐔𝐋𝐋 π“πˆπŒπ„

π’πˆπŒππ€ 𝐒𝐂 1 -𝐑𝐒 ππ„π‘πŠπ€ππ„ 1 (π€π π π«πžπ πšπ­πž 1-3)

𝐑𝐒 ππ„π‘πŠπ€ππ„ πŒπ€ππˆππ†π–π€ 𝐖𝐀 π“πŽπ“π€π‹ π„ππ„π‘π†πˆπ„π’ 𝐂𝐀𝐅 π‚πŽππ…π„πƒπ„π‘π€π“πˆπŽπ 𝐂𝐔𝐏 2024/2025
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…