Simba 1-1 RS Berkane| Agg: Simba 1-3 RS Berkane | RS Berkane Bingwa CAFCC 2024/205

Kwa matokeo yeyote siwez walaumu Simba ila kiukweli hii game waarabu pamoja na refa walikuj kuhakisha simba hawapati utulivu wowote mchezoni walijua kabisa bila hivyo kombe hawezi chukulia kwenye ardhi yetu. Plan ya kwanza ilikuwa kuhamisha uwanja na plan ya pili ni kuhakikisha kule watapoenda kucheza hawapati utulivu ila joto la Simba watakuwa wanalijua wachezaji wa Berkane.
 
Saaaaafi mwananchi gonga like tujuane๐Ÿ’š๐Ÿ’š๐Ÿ’š๐Ÿ’š๐Ÿ’š๐Ÿ’š๐Ÿ’š๐Ÿ’š๐Ÿ’š๐Ÿ’š๐Ÿ’š๐Ÿ’š๐Ÿ’š๐Ÿ’š๐Ÿ’›๐Ÿ’›๐Ÿ’›๐Ÿ’›๐Ÿ’›๐Ÿ’›๐Ÿ’›๐Ÿ’›๐Ÿ’›๐Ÿ’›๐Ÿ’›
 
Simba ni sawa na safari ya chizi
 
Hakuna kitu kila siku nyie tu we kubali umechapika
 
Uwanja wamechagua wao, refa mwarabu wao jirani, wakahakikisha kadi nyekundu, na kumuondoa kocha uwanjani
 
Reactions: Tsh
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ