Simba 1-1 RS Berkane| Agg: Simba 1-3 RS Berkane | RS Berkane Bingwa CAFCC 2024/205

Sio leo toka zamaniii,mnyama hana mpinzani x2
🎡🎡🎡🎡🎡🎡🎡🎡🎡🎡
Hatukamatikikiiii hatushikikikiiii...πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
kmmk leo mmekamatika!
 
Waaanaathiiimba😁

Kosa lenu ni kuikimbia derby ambayo ilikua nikipimo Tosha. Kwa kuonesha ubovu wa time yenu, mshukuru hata kufika finali maana mmepitia njio za uchochoro kwa kucheza na wabovu zaidi yenu. Na mna kamdomo sana hasa msemaji wenu domo chai jaba(Ahmed ally).
 
Sio leo toka zamaniii,mnyama hana mpinzani x2
🎡🎡🎡🎡🎡🎡🎡🎡🎡🎡
Hatukamatikikiiii hatushikikikiiii...πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
kmmk leo mmekamatika!
Nyimbo nzuri mno.
 
ℍ𝕒𝕙𝕒𝕙𝕙𝕒𝕙𝕙𝕙𝕙𝕙𝕙

π•Žπ•’π•žπ•–π•“π•–π•“π•’ π•„π•šπ•žπ•“π•’ [emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…