Uwongo mtupu....mlikuwa mlishanyoa hadi vuzi ili muwapee waume zenu yote 🤣🤣🤣🤣Yaan mie kukosa Kombe wala sijaumia, muhimu vichaka vimefyekwaa, na bado tunapo Pa kujifichia.
Walipe ¼ finals back to back ×4.
Njoo ule kibamia basi upoze machungu ya kuonewa kwenye ardhi yako mwenyewe