Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 52,676
- 128,227
Kabisa yaani. 😀Si unajua unawachana kama Gwajima bila kujua kwamba wamechanwa
😀 😀 .😀
Kabisa yaani. 😀Si unajua unawachana kama Gwajima bila kujua kwamba wamechanwa
😀 😀 .😀
Wanajaribu kuokoa muda...🤔🤔Mchezaji yeyote anayefunga bao na kubeba mpira kuupeleka katikati huwa namdharau sana; sijui kwa nini. Ni kama nilivyomdharau Baleke wakati wa mechi yha Yanga dhidi ya Augsburg na Mandžukić wakati wa world cup finals baina ya France na Croatia zilizofanyika Urusi.
Khaaa! Ila hawa majamaa. lolRatiba ya Mnyama Simba Baada ya Kutwaa Kombe la Afrika CAF Hapo Jumapili
1. Jumatatu Kombe litapelekwa Ikulu ya Rais Hussein Mwinyi Zanzibar
2. Jumanne Kombe litapanda Ndege Kuelekea Dar es Salaam na Kufikia Ikulu ya Rais Samia Suluu Hassan
3. Jumanne Hiyo Hiyo Kombe litaelekea Makao Makuu ya Msimbazi na Kulala Hapo Hapo na Mkesha Mkubwa Mnooooo
4. Jumatano Kombe litaelekea Bungeni Dodoma
5. Alihamisi Kombe litaelekea Chato Kwa Hayati John Pombe Magufuri
6. Ijumaaa Kombe litalejea Dar es Salaam. na Kupelekwa Makao Makuu ya TFF. Kisha Kulejea Msimbazi Kusubili Ratiba zingine
NA HUU NDO UBAYA UBWELA WETU MSIMU HUUU 🔥🔥💪
Mchezaji yeyote anayefunga bao na kubeba mpira kuupeleka katikati huwa namdharau sana; sijui kwa nini. Ni kama nilivyomdharau Baleke wakati wa mechi yha Yanga dhidi ya Augsburg na Mandžukić wakati wa world cup finals baina ya France na Croatia zilizofanyika Urusi.
Mimi ni simba ila Bora tumelikosa tuu.Ratiba ya Mnyama Simba Baada ya Kutwaa Kombe la Afrika CAF Hapo Jumapili
1. Jumatatu Kombe litapelekwa Ikulu ya Rais Hussein Mwinyi Zanzibar
2. Jumanne Kombe litapanda Ndege Kuelekea Dar es Salaam na Kufikia Ikulu ya Rais Samia Suluu Hassan
3. Jumanne Hiyo Hiyo Kombe litaelekea Makao Makuu ya Msimbazi na Kulala Hapo Hapo na Mkesha Mkubwa Mnooooo
4. Jumatano Kombe litaelekea Bungeni Dodoma
5. Alihamisi Kombe litaelekea Chato Kwa Hayati John Pombe Magufuri
6. Ijumaaa Kombe litalejea Dar es Salaam. na Kupelekwa Makao Makuu ya TFF. Kisha Kulejea Msimbazi Kusubili Ratiba zingine
NA HUU NDO UBAYA UBWELA WETU MSIMU HUUU 🔥🔥💪
Wewe ungepata nini😂😂 mnashangilia mashuja wakipata kadi za mchongo.we umepata niniiii akili za kimaskini hizo
Hata Mzee Kaduguda ameshakiri kuwa Aden Rage alikuwa sahihi 100%. Sisi ni akina nani tupinge mzee mwenzangu?Hahahaaa. Kweli Mzee Rage hakukosea aisee.
Mo kwa Cafe hana tofauti na Mangungu tuMaelekezo ya tff kwa marefa ni kwa marefa wa Bongo tu.
By the way:
Hivi Mo Dewji na hela zote alizonazo ameshindwa kuwahonga Marefa wa Caf!!!!!
Nambieeee
Ndio mumekoma sasa🤣🤣🤣 Kila mtu na mnyonge wake 🤣🤣🤣
😂😂😂😂Waberkane wanashangaa waarabu wenzao wametokea wapi !! Ila kawimbo kama nakaelewa🤣🤣🤣
Pole sana mtani wanguAaah wapiii...
Malengo yalikua nusu fainali mtani
Unasemaje 😀😀😀Yaan mie kukosa Kombe wala sijaumia, muhimu vichaka vimefyekwaa, na bado tunapo Pa kujifichia.
Walipe ¼ finals back to back ×4.
Haswaaaaa....Yaan mie kukosa Kombe wala sijaumia, muhimu vichaka vimefyekwaa, na bado tunapo Pa kujifichia.
Walipe ¼ finals back to back ×4.
Rudisheni hela zetu wezi nyie.....Yaan mie kukosa Kombe wala sijaumia, muhimu vichaka vimefyekwaa, na bado tunapo Pa kujifichia.
Walipe ¼ finals back to back ×4.
Maelezo yote haya si dalili za kutokwa na povu Mtani? 😅Haswaaaaa....
Asilimia 90 ya wana simba hata hatujaumia...labda kilichotuudhi ni yule refa mwenye sura ndefu kama kichwa cha treni ya mwendo kasi....angekua fair kombe lilikua letu...
Otherwise sie malengo tumevukaa tena tumevuka tenaà...
Na tupo top 4 hukooo juuu...
Mafanikio yetu kwny michezo ya CAF hakuna wa kutufananisha nae hapa Tanzania mpk sasa so far....
Simbaaaa nguvu mojaaaa
Ubaya ubwela
Kama hupendi hii comment kaaa nayo mbali sijakulazimisha kukubali..
Kwako cocastic waletee waleteee
Wee rudisheni hela zetu wahuni nyieHaswaaaaa....