Simba 1-1 RS Berkane| Agg: Simba 1-3 RS Berkane | RS Berkane Bingwa CAFCC 2024/205

Ty
 
Attachments

  • IMG-20250525-WA0029.jpg
    IMG-20250525-WA0029.jpg
    13.6 KB · Views: 17
Ogopa sana team iliyocheza pungufu na goli likapatikana refa wao akaligomea kwenye uwanja walio uchagua wao
NB.mwarabu alicho tushinda leo ni janja janja na siasa za nje ya pitch
 
🤣🤣 lile bao lililokataliwa sijui mlikuwa katika hali gani kabla ya refa kucheki VAR
Kule Morocco goli la tatu lilivyoingia ulikuwa na hali gani?

Haya tuwarudishie goli la pili na Berkane tuwarudishie lile la Morocco la tatu lililokataliwa.

VAR ndio iliyowapeleka fainali halafu mnajifyatuwa akili.
 
Ogopa sana team iliyocheza pungufu na goli likapatikana refa wao akaligomea kwenye uwanja walio uchagua wao
NB.mwarabu alicho tushinda leo ni janja janja na siasa za nje ya pitch
Hujui mpira, timu inayokuwa pungufu ndio inacheza kwa kujituma, kuna mchezaji anakuwaga mzigo tu uwanjani.
 
Ratiba ya Mnyama Simba Baada ya Kutwaa Kombe la Afrika CAF Hapo Jumapili

1. Jumatatu Kombe litapelekwa Ikulu ya Rais Hussein Mwinyi Zanzibar

2. Jumanne Kombe litapanda Ndege Kuelekea Dar es Salaam na Kufikia Ikulu ya Rais Samia Suluu Hassan

3. Jumanne Hiyo Hiyo Kombe litaelekea Makao Makuu ya Msimbazi na Kulala Hapo Hapo na Mkesha Mkubwa Mnooooo

4. Jumatano Kombe litaelekea Bungeni Dodoma

5. Alihamisi Kombe litaelekea Chato Kwa Hayati John Pombe Magufuri

6. Ijumaaa Kombe litalejea Dar es Salaam. na Kupelekwa Makao Makuu ya TFF. Kisha Kulejea Msimbazi Kusubili Ratiba zingine

NA HUU NDO UBAYA UBWELA WETU MSIMU HUUU 🔥🔥💪
 
Huu ndio ujinga hatukuutaka, Berkane imeliponya Taifa na madhara makubwa kama hawa mbumbumbu wangebeba kombe na ratiba yao hii.

No reform no election.
 
Hongereni sana Simba.

Nilikuwa Safarini ila mmejitahidi mno.

Refa wao, Uwanja wao.
 
WENZENU wanabeba KOMBE mnabeba
M......
 
Attachments

  • IMG-20250526-WA0000.jpg
    IMG-20250526-WA0000.jpg
    48 KB · Views: 12
Adabu
 
Attachments

  • Screenshot_20250526-002844.jpg
    Screenshot_20250526-002844.jpg
    136.8 KB · Views: 19
Takbiir
 
Attachments

  • Screenshot_20250526-003151.jpg
    Screenshot_20250526-003151.jpg
    133.4 KB · Views: 18
Innalilah rajuin
 
Attachments

  • Screenshot_20250526-002844.jpg
    Screenshot_20250526-002844.jpg
    136.8 KB · Views: 17
Back
Top Bottom