Plus penalti 2 refa alipeta kule kwao na foul pembezoni mwa box, zote kolo anajifanya hakuna.Kule Morocco goli la tatu lilivyoingia ulikuwa na hali gani?
Haya tuwarudishie goli la pili na Berkane tuwarudishie lile la Morocco la tatu lililokataliwa.
VAR ndio iliyowapeleka fainali halafu mnajifyatuwa akili.
Sisi ndiyo Simba SC AKAAdabu
Sasa uto mmefaiadika nini sisi Simba kutobeba kombe?Kule Morocco goli la tatu lilivyoingia ulikuwa na hali gani?
Haya tuwarudishie goli la pili na Berkane tuwarudishie lile la Morocco la tatu lililokataliwa.
VAR ndio iliyowapeleka fainali halafu mnajifyatuwa akili.
Nchi ina utulivu wa kutosha.Sasa uto mmefaiadika nini sisi Simba kutobeba kombe?
Huwa nafurahi sana napooana mashabiki wa Yanga na Simba wakilia na kusaga meno Kwa kulaumu marefa vitendo wanavyozifanyia Timu zingine ligi kuu.Adabu
🤣🤣🤣 Kila mtu na mnyonge wake 🤣🤣🤣Huwa nafurahi sana napooana mashabiki wa Yanga na Simba wakilia na kusaga meno Kwa kulaumu marefa vitendo wanavyozifanyia Timu zingine ligi kuu.
Mumekoma kabisa.
Duuh! Pole mzee mwenzangu mi niwe mkweli huwa nachukulia ni jokes tu ya majukwaani.Unaniudhigi mzee mwenzangu nikikwambia uje PM hujagi dah! Kama leo hii furaha naipeleka wapi sasa dah!
View attachment 3345506
Hahahaaa. Kweli Mzee Rage hakukosea aisee.
Asante snPole bibie Angie
Pole sana rafiki yangu 😀Asante sn
Mie tamaa nlikuwa sina kihivyoooo. Labda ingetokea miracle