min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Dah kumbe tulifungwa😭😭😭
Dah kumbe tulifungwa😭😭😭
Kwamba hukuniahidi wewe ikiwa Makolokolo SC itabeba kombe la CAFCCL utanitunuku kisusio? 😂Uliahidiwa na nani? Au na kay mziwanda? Pole mtani
Kisusio tena jamani...au umemiss supu ya vibudu??Kwamba hukuniahidi wewe ikiwa Makolokolo SC itabeba kombe la CAFCCL utanitunuku kisusio? 😂
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Bado akili ya kichapo kitakatifu toka kwa Berkane SC hakijakutoka akilini, ukikaa sawa utanitunuku tu kipochi manyoya Mtani 🤣Kisusio tena jamani...au umemiss supu ya vibudu??
Nianze tuu kutoa ahadi za kipuuzi mimi au mwingine?? Ahahahah 🤣 🤣 🤣
Labda uzaliwe upya.......na mimi niwe chura sio kalpana....Bado akili ya kichapo kitakatifu toka kwa Berkane SC hakijakutoka akilini, ukikaa sawa utanitunuku tu kipochi manyoya Mtani 🤣
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Akili zenu Ke hazitubabaishi, mara ngapi huwa mnatuahidi Me hamtatuzalia tena Watoto kwa kupatwa na uchungu wakati wa kujifungua ila mara paa ushakuwa Mama kijacho?Labda uzaliwe upya.......na mimi niwe chura sio kalpana....
Msyuuuu
SawaAkili zenu Ke hazitubabaishi, mara ngapi huwa mnatuahidi Me hamtatuzalia tena Watoto kwa kupatwa na uchungu wakati wa kujifungua ila mara paa ushakuwa Mama kijacho?
Sina shaka kuwa hamna hamna utanipea hata kishingo upande 🤗
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Ndio hivyo Vin, yaan ile kuingia Final, ni full shangweee.Unasemaje 😀😀😀
Ubayaaaaaaaaaa ubwelaaaaaaaaaHaswaaaaa....
Asilimia 90 ya wana simba hata hatujaumia...labda kilichotuudhi ni yule refa mwenye sura ndefu kama kichwa cha treni ya mwendo kasi....angekua fair kombe lilikua letu...
Otherwise sie malengo tumevukaa tena tumevuka tenaà...
Na tupo top 4 hukooo juuu...
Mafanikio yetu kwny michezo ya CAF hakuna wa kutufananisha nae hapa Tanzania mpk sasa so far....
Simbaaaa nguvu mojaaaa
Ubaya ubwela
Kama hupendi hii comment kaaa nayo mbali sijakulazimisha kukubali..
Kwako cocastic waletee waleteee
Ubayaaaaaaaa Ubwelaaaaaaaaa.Rudisheni hela zetu wezi nyie.....
Haya wacha turudi kwenye ligi letu la tatu malogo🤣🤣🤣🤣
Pamadaku gaku, 😂😂😂😂😂😂Uwongo mtupu....mlikuwa mlishanyoa hadi vuzi ili muwapee waume zenu yote 🤣🤣🤣🤣
Njoo ule kibamia basi upoze machungu ya kuonewa kwenye ardhi yako mwenyewe
Sema yule refa kazingua sana janaNdio hivyo Vin, yaan ile kuingia Final, ni full shangweee.
Humuu tyuuh, humuu tyuuh. 😂😂😂😂😂
😄😀Dah kumbe tulifungwa😭😭😭
ngoja nikuelimishe VAR wanaangalia matukio matatu tu red card incident,penalt incident na incorrectly allowed/disallowed goal. ikitokea faulo inayozaa direbt red card au penalty hapo VAR itahusika ili mhusika aadhibiwe na viictim apate haki yake uliona VAR inaita goal kick,corner kick au throw in?Ni mengi zile faulo walizofanyiwa simba mliziona au mlikua mnafurahia..yy hakufanya lolote...
Mbona hakwenda kuangalia Var ajiridhishe kwenye utata wa var
Afu mie mbna sijaona tatizo lolote, simlaumu Refa, couz maamuzi yanabaki kuwa yake.Sema yule refa kazingua sana jana
Hata ukishindanisha wajinga watupu ni lazima upate mwerevu. Ligi ya Bongo na timu za nje viwango tofauti. Na ligi a nje karibu unavyopanda ngazi ndivyo inavyozidi kuwa ngumu.Huoni za ligi kuu huwa tunashinda
Hii game ya mamelodi na pyramid Itakuwa ngumu sanaAfu mie mbna sijaona tatizo lolote, simlaumu Refa, couz maamuzi yanabaki kuwa yake.
Ndo maana hata huku site, kila mtu anashangaa sitoi lawama kwa refa, kwa kuwa mpira niliangalia ikiwa tayari najua nini kitatokea, na kimekua.
Nasubiri kuona Pyramids na Mamelodi hapo patakua patamu sana.
Refa wa kwao yuleSema yule refa kazingua sana jana
Itakuwa alipewa pesa aiseeRefa wa kwao yule
Kabla kutua zanzibar alipita Morocco kakaa masaa manne...kaenda kufanyaje!?
Umeona ubaya ubwela unavyofanywa lakiniUbayaaaaaaaa Ubwelaaaaaaaaa.