Uwongo mtupu....mlikuwa mlishanyoa hadi vuzi ili muwapee waume zenu yote 🤣🤣🤣🤣Yaan mie kukosa Kombe wala sijaumia, muhimu vichaka vimefyekwaa, na bado tunapo Pa kujifichia.
Walipe ¼ finals back to back ×4.
Taja tukio gani refa kavurunda, refa alikuwa fair kabisaaHaswaaaaa....
Asilimia 90 ya wana simba hata hatujaumia...labda kilichotuudhi ni yule refa mwenye sura ndefu kama kichwa cha treni ya mwendo kasi....angekua fair kombe lilikua letu...
Otherwise sie malengo tumevukaa tena tumevuka tenaà...
Na tupo top 4 hukooo juuu...
Mafanikio yetu kwny michezo ya CAF hakuna wa kutufananisha nae hapa Tanzania mpk sasa so far....
Simbaaaa nguvu mojaaaa
Ubaya ubwela
Kama hupendi hii comment kaaa nayo mbali sijakulazimisha kukubali..
Kwako cocastic waletee waleteee
Ukiwa utopolo hakuna kosa kwa refa hata moja...yani kanyooka asilimia zote...so siwezi kubishana na mtu wa huko kwa sasa... 😎 😎Taja tukio gani refa kavurunda, refa alikuwa fair kabisaa
Pumbavuuuuu kaana genye zako 🤣🤣Wee rudisheni hela zetu wahuni nyie
250k sii nilishakula mbususu ya warembo ata watano wenye tako na titi zuri
Lazima tuwatemee mate na mapovu hatuwezi kukaa kizembe....hahahaMaelezo yote haya si dalili za kutokwa na povu Mtani? 😅
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Mlikataa kurudisha hela zetu haya sasa kiko wapi? Malipo hapa hapa duniani.Pumbavuuuuu kaana genye zako 🤣🤣
Pole sana Mtani, yote yatapita Mama.Lazima tuwatemee mate na mapovu hatuwezi kukaa kizembe....hahaha
Na GSM family....Mlikataa kurudisha hela zetu haya sasa kiko wapi? Malipo hapa hapa duniani.
Okay turudi nbc sasa tupate burudani toka kwa tatu malogo
Asante baba 😊 😊 😊 😊 😆Pole sana Mtani, yote yatapita Mama.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Sii ndio ligi yetu kivyetu vyetuNa GSM family....
Tit for Tati
Ila usingenikataza kuwa Mzalendo Makolokolo tungekuwa Bingwa CAFCC 2024/2025.Lazima tuwatemee mate na mapovu hatuwezi kukaa kizembe....hahaha
Msyuuuu tuache banaIla usingenikataza kuwa Mzalendo Makolokolo tungekuwa Bingwa CAFCC 2024/2025.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Nyie hii wiki mnaaga makombe yote🤣🤣🤣🤣🤣Msyuuuu tuache bana
Sawa haina shidaNyie hii wiki mnaaga makombe yote🤣🤣🤣🤣🤣
amemaanisha taja kosa la referee ambalo limeamua matokeo makosa madogo madogo hayakwepekiUkiwa utopolo hakuna kosa kwa refa hata moja...yani kanyooka asilimia zote...so siwezi kubishana na mtu wa huko kwa sasa... 😎 😎
Ila ninacheka kwa maumivu maana naelewa ndiyo basi tena sitatunukiwa kipochi manyoya...😊😩Msyuuuu tuache bana
Uliahidiwa na nani? Au na kay mziwanda? Pole mtaniIla ninacheka kwa maumivu maana naelewa ndiyo basi tena sitatunukiwa kipochi manyoya...😊😩
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Ni mengi zile faulo walizofanyiwa simba mliziona au mlikua mnafurahia..yy hakufanya lolote...amemaanisha taja kosa la referee ambalo limeamua matokeo makosa madogo madogo hayakwepeki
Hahahaaa. Haiwezekani tupinge mzee mwenzangu.Hata Mzee Kaduguda ameshakiri kuwa Aden Rage alikuwa sahihi 100%. Sisi ni akina nani tupinge mzee mwenzangu?
View attachment 3346055
Asante sn swahiba wabguPole sana rafiki yangu 😀