Simba 1-1 RS Berkane| Agg: Simba 1-3 RS Berkane | RS Berkane Bingwa CAFCC 2024/205

Kisusio tena jamani...au umemiss supu ya vibudu??
Nianze tuu kutoa ahadi za kipuuzi mimi au mwingine?? Ahahahah 🀣 🀣 🀣
Bado akili ya kichapo kitakatifu toka kwa Berkane SC hakijakutoka akilini, ukikaa sawa utanitunuku tu kipochi manyoya Mtani 🀣
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Labda uzaliwe upya.......na mimi niwe chura sio kalpana....
Msyuuuu
Akili zenu Ke hazitubabaishi, mara ngapi huwa mnatuahidi Me hamtatuzalia tena Watoto kwa kupatwa na uchungu wakati wa kujifungua ila mara paa ushakuwa Mama kijacho?
Sina shaka kuwa hamna hamna utanipea hata kishingo upande πŸ€—

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Ubayaaaaaaaaaa ubwelaaaaaaaaa
🦁
 
Uwongo mtupu....mlikuwa mlishanyoa hadi vuzi ili muwapee waume zenu yote 🀣🀣🀣🀣
Njoo ule kibamia basi upoze machungu ya kuonewa kwenye ardhi yako mwenyewe
Pamadaku gaku, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ni mengi zile faulo walizofanyiwa simba mliziona au mlikua mnafurahia..yy hakufanya lolote...
Mbona hakwenda kuangalia Var ajiridhishe kwenye utata wa var
ngoja nikuelimishe VAR wanaangalia matukio matatu tu red card incident,penalt incident na incorrectly allowed/disallowed goal. ikitokea faulo inayozaa direbt red card au penalty hapo VAR itahusika ili mhusika aadhibiwe na viictim apate haki yake uliona VAR inaita goal kick,corner kick au throw in?
 
Sema yule refa kazingua sana jana
Afu mie mbna sijaona tatizo lolote, simlaumu Refa, couz maamuzi yanabaki kuwa yake.

Ndo maana hata huku site, kila mtu anashangaa sitoi lawama kwa refa, kwa kuwa mpira niliangalia ikiwa tayari najua nini kitatokea, na kimekua.

Nasubiri kuona Pyramids na Mamelodi hapo patakua patamu sana.
 
Hii game ya mamelodi na pyramid Itakuwa ngumu sana
Refa huyu aliwahi kutukatalia lile goli la Aziz k kule kwa madiba aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…