Acha taarabu kijana,mbona unaongea Kama asha baraka au zuchu Nini weweAnacheza na Namungo kwa sababu kisheria ngao ya hisani inachezwa kati ya mshindi wa ligi kuu na azam conf. Cup ,sasa simba kashinda kombe zote inabidi acheze na aliyecheza naye fainal ya Azam conf.cup.
Najua inawauma tuliwaambia chezeni mpira siyo kucheza utopolo ,nyani fc a.k.a malalamiko FC
Acha taarabu kijana,mbona unaongea Kama asha baraka au zuchu Nini wewe
Nadhani Ni kuanzia mwanzoNaona kuanzia mwisho wa thread unakata tu mauno
Acha kuifananisha simba na vitu vya kijingaSimba ni CCM Yanga kama CHADEMA
Hawa Wacha Wajinyee KabisaKuna wanayanga washazimia hapa uwanjani kwa husda.
View attachment 1544863
Diamond leo atajaza sana uwanja. Huyu dogo anapendwa sana
Mpaka muda huu Hali ya Simba Ni Tete, hawajajaza Uwanja, licha ya promo kubwa ya wasafi lakini Hali Ni teteDiamond leo atajaza sana uwanja. Huyu dogo anapendwa sana
Imepoa wapi?Daah Hii simba day mbona imepoa sana.. hata kiki ya kuja na helicopter haijabamba
Anaangalia kwenye tv ya inch 14 alafu antena ya miba ya samaki picha zinagandaganda.Imepoa wapi?
Yanga bhana, au unaangalia kwenye TV
Uwanja haujajaa... Narudia Tena haujajaaa. Wataambia Nini umma [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mpaka muda huu Hali ya Simba Ni Tete, hawajajaza Uwanja, licha ya promo kubwa ya wasafi lakini Hali Ni tete
Hamna kitu ushuzi mtupu.Aliefunga Music system uwanjani kazingua kinoma
Leo uwanja hatutaujaza aiseeDaah Hii simba day mbona imepoa sana.. hata kiki ya kuja na helicopter haijabamba
Uwanja wa uhuru upo tupu...Leo uwanja hatutaujaza aisee