OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
- Thread starter
- #161
Chama umemleta Bwalya atakupiga bench shauri yako. jamaa katulia kama maji mipasi ya rula
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una log off baada ya magoli kuingia hahahaha manyani fc banaMmeanza ku update baada magoli kuingia mmmmammmamaaeee
Nalog off.
Kiungo mwenye macho ..Anatoa mipira mizuri.LARRY BWALYA FANTASTIC PLAYER
Pasi za Bwalya kama za Del Piero.Chama umemleta Bwalya atakupiga bench shauri yako. jamaa katulia kama maji mipasi ya rula
Hahaha..we jamaa unachekesha sana, huo upepo huenda ni wa mtaa wako na mwenzi wako, watu wanakuja kushangaa mnaouita muujiza unaoishi, kuona liliponaponaje vile? [emoji382]Mo amejaribu kufanya siasa taifa nilikuwa kwenye baa watu wameguna baada ya Mo kusema Magufuli oye.
Ndio ujue upepo wa Lissu mtaani sio wa kawaida.
Mkuu, atazame azam tv bana. Aache ubahiri wa kulipia kifurushisasa ni mapumziko,kumbuka na sisi ni watazamaji. tuache kutazama mpira kutuletee wewe updates,unatulipa?
huyu mtoto wa kiswahili ni balaa.kama babu yake Kange Lugola.sikwa miuno hii.Baada ya morrison kufanya yakeView attachment 1545070
Huu ndio ushindani tunaoutaka kusiwepo na dhana tegemezi kwamba mchezaji awe na uhakika wa namba kila mechiChama umemleta Bwalya atakupiga bench shauri yako. jamaa katulia kama maji mipasi ya rula
Hahaha weee angekuwepo Luis? Kuwa na huruma kidogo mkuu Ni ndugu zetu hawa.Kocha usimtoe Morison tuendelee na burudani. kama angekuwepo Konde sawa
Mugalu hapo atampumzisha nani sasa?Onyango, Bwalya, Ame tushawaona. sasa ni zamu ya Mugulu na Ilamfya
No mimi sio Yanga weee. Mmeniboa uzi unakuja hapa updates hamna. Yaani updates ni mpaka goli liingie. Pathetic.Una log off baada ya magoli kuingia hahahaha manyani fc bana
Sahihi kabisa.ni jukwaa la michezo.hivi hili ni jukwaa la michezo
Hapo Ndemla ajipange.. Nafasi ya Ndemla leo Chama anaweza kucheza. Tunamsubiri Mugulu kuona kama Dilunga ana namba.Chama umemleta Bwalya atakupiga bench shauri yako. jamaa katulia kama maji mipasi ya rula
Baada ya mechi? Weee.... angepigwa Tanganyika Jeki muda ule ule.Hatari mkuu, jamaa ila hatoguswa maana Azam wanajali uhuru. Ingekuwa Aipipii jamaa angekutana na barua getini baada ya mechi
Hapana mkuu kutakuwa na balaa zito sana Kama huyu Bwalya kicheza 8 alafu Chama acheze 8 kama assistant forward, Luis acheze 7 na kushoto 11 acheze Morrison hapo hapo utaipenda Simba sasaChama umemleta Bwalya atakupiga bench shauri yako. jamaa katulia kama maji mipasi ya rula