Simba Day: Simba SC yaisambaratisha Vital-O 6-0

Baada ya morrison kufanya yake
Your browser is not able to display this video.
 
Mo amejaribu kufanya siasa taifa nilikuwa kwenye baa watu wameguna baada ya Mo kusema Magufuli oye.

Ndio ujue upepo wa Lissu mtaani sio wa kawaida.
Hahaha..we jamaa unachekesha sana, huo upepo huenda ni wa mtaa wako na mwenzi wako, watu wanakuja kushangaa mnaouita muujiza unaoishi, kuona liliponaponaje vile? [emoji382]
 
Chama umemleta Bwalya atakupiga bench shauri yako. jamaa katulia kama maji mipasi ya rula
Huu ndio ushindani tunaoutaka kusiwepo na dhana tegemezi kwamba mchezaji awe na uhakika wa namba kila mechi

Hii ita-stimulate kujituma refer aishi manula alivyokuja kakolanya amekua anatulia golini magoli anayofungwa humtoi kasoro
 
Chama umemleta Bwalya atakupiga bench shauri yako. jamaa katulia kama maji mipasi ya rula
Hapana mkuu kutakuwa na balaa zito sana Kama huyu Bwalya kicheza 8 alafu Chama acheze 8 kama assistant forward, Luis acheze 7 na kushoto 11 acheze Morrison hapo hapo utaipenda Simba sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…