Ni ujinga kumlaumu kocha kwa hiko kipigo walichopata Simba, ni uzembe wa wachezaji 100% hawajitambui kabisa.
Inshort wachezaji wa Simba wengi wana umri mkubwa lakini hawajui wanachofanya uwanjani, na matokeo ya aina hii sio mara ya kwanza kutokea UD Songo walifanya hiki hiki, ila cha leo ni aibu kubwa zaidi.
Wachezaji wanapewa kila wanachotaka lakini wapi, mishahara mizuri, kambi nzuri, posho,kufungwa tatu nyumbani ni zaidi ya upuuzi, ni sawa na kwenda hatua tatu mbele halafu kurudi kumi nyuma, nxt yr Tanzania itapeleka timu mbili pekee hopless, mpira wetu bado sana.