Simba SC 1-3 Jwaneng Galaxy FC | CAFCL | Simba yatolewa klabu bingwa Afrika

Simba SC 1-3 Jwaneng Galaxy FC | CAFCL | Simba yatolewa klabu bingwa Afrika

Ni ujinga kumlaumu kocha kwa hiko kipigo walichopata Simba, ni uzembe wa wachezaji 100% hawajitambui kabisa.

Inshort wachezaji wa Simba wengi wana umri mkubwa lakini hawajui wanachofanya uwanjani, na matokeo ya aina hii sio mara ya kwanza kutokea UD Songo walifanya hiki hiki, ila cha leo ni aibu kubwa zaidi.

Wachezaji wanapewa kila wanachotaka lakini wapi, mishahara mizuri, kambi nzuri, posho,kufungwa tatu nyumbani ni zaidi ya upuuzi, ni sawa na kwenda hatua tatu mbele halafu kurudi kumi nyuma, nxt yr Tanzania itapeleka timu mbili pekee hopless, mpira wetu bado sana.
 
Hatuna timu huu ndio ukweli mchungu,MO na mwenzake Magoli wameuza wachezaji wamesajili watoto wa shule ujinga mtupu
Halafu mechi ijayo ya ligi mnakutana na timu katili ya Polisi Tanzania!! Yaani wale wazee wa kubambikia watu kesi!!

Hakika msimu utakuwa mgumu sana kwenu. Hakuna cha vipolo wala nini!!! Bado kuna wababe wenu Prisons!! Dah!! Kazi ipo.
 
Back
Top Bottom