Mnyuke Jr
JF-Expert Member
- Jul 3, 2021
- 4,472
- 6,391
Haikuwa bahati yenu ila tukiachana na bahati kwasasa timu yenu ina struggle sana kupata matokeoTumetolewa Mkuu
Ukitaka kujua hilo kumbuka ni lini simba inapigwa goli tatu nyumbani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haikuwa bahati yenu ila tukiachana na bahati kwasasa timu yenu ina struggle sana kupata matokeoTumetolewa Mkuu
Na Ukome...😂😂Yaani hapa degedege sio degedege, malaria sio malaria.... Leo nimeumia mno....
Msimu huu hamna rangi mtaacha kuonaSimba Nguvu moja.
Simba Baba wa Mpira wa Miguu Tanzania tengeneza Mbeleko ya watoto akina Uttoo
Nimeumia sanaHaikuwa bahati yenu ila tukiachana na bahati kwasasa timu yenu ina struggle sana kupata matokeo
Ukitaka kujua hilo kumbuka ni lini simba inapigwa goli tatu nyumbani
hii simba ni ya kipumbavu sana
[emoji22][emoji22][emoji22]Na Ukome...[emoji23][emoji23]
Simba ni wapuuzi aisee, wametolewa kizembe sana aisee
Haya wewe kaote usiku na bao 3Sawa dada. ENDELEA KUOTA MCHANA
Haya wewe kaote usiku na bao 3
Kocha gani?Kuna Mda kocha Unamshangaa sanaa, Na Nitashangaa Simba Wasipo Mtimua Huyu Kocha.
Kapombe kachokaa hawezi tena mpira anafanya Sub za Kipuuzi saana
Halafu mechi ijayo ya ligi mnakutana na timu katili ya Polisi Tanzania!! Yaani wale wazee wa kubambikia watu kesi!!Hatuna timu huu ndio ukweli mchungu,MO na mwenzake Magoli wameuza wachezaji wamesajili watoto wa shule ujinga mtupu