Simba SC 1-3 Jwaneng Galaxy FC | CAFCL | Simba yatolewa klabu bingwa Afrika

Halafu mechi ijayo ya ligi mnakutana na timu katili ya Polisi Tanzania!! Yaani wale wazee wa kubambikia watu kesi!!

Hakika msimu utakuwa mgumu sana kwenu. Hakuna cha vipolo wala nini!!! Bado kuna wababe wenu Prisons!! Dah!! Kazi ipo.
Wanasubiri droo ya shirikisho wajue watapangwa na nani kwenye play off
 
Kuna mtu ananiambia hapa pale sio kwa Mkapa ni mlandizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…