Simba SC 1-3 Jwaneng Galaxy FC | CAFCL | Simba yatolewa klabu bingwa Afrika

Simba SC 1-3 Jwaneng Galaxy FC | CAFCL | Simba yatolewa klabu bingwa Afrika

Halafu mechi ijayo ya ligi mnakutana na timu katili ya Polisi Tanzania!! Yaani wale wazee wa kubambikia watu kesi!!

Hakika msimu utakuwa mgumu sana kwenu. Hakuna cha vipolo wala nini!!! Bado kuna wababe wenu Prisons!! Dah!! Kazi ipo.
Wanasubiri droo ya shirikisho wajue watapangwa na nani kwenye play off
 
Back
Top Bottom