ram
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 9,326
- 8,505
PoleSimba anapita hapa hata iweje ila kuna namna ya kujitafakari vizuri kama timu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
PoleSimba anapita hapa hata iweje ila kuna namna ya kujitafakari vizuri kama timu
Tunamsubiri msemaji wa Simba Sports Club Mwijaku atembee uchi kutoka Clouds Fm hadi Msimbazi.Mr utopolo nimetapika double kick zangu tatu nilizokunywa kwa mfadhaiko
huyu katuchoma bora aondoke tuBado safari ya kutembea uchi wanasimba wote mwenge hadi kawe kama walivoahidi na mwijaku ya leo tayari tusubiri kesho wamalize matembezi yao
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nini kwani,wewe unaoje mzee.Simba anashinda hii mechi na makundi anapita pia.
Hivi Banda umemuona au uliowataja una bifu nao?Bado nashangaa Bocco, Kagere, Mugalu, Manura, Wawa, Onyango, Nyoni, Mkude wanafanya nini Simba
Kumbe [emoji1787]Hii ndiyo ligi ya mabingwa ambayo utopolo iliwashinda.
Bado nashangaa Bocco, Kagere, Mugalu, Manura, Wawa, Onyango, Nyoni, Mkude wanafanya nini Simba
Wanasubiri droo ya shirikisho wajue watapangwa na nani kwenye play offHalafu mechi ijayo ya ligi mnakutana na timu katili ya Polisi Tanzania!! Yaani wale wazee wa kubambikia watu kesi!!
Hakika msimu utakuwa mgumu sana kwenu. Hakuna cha vipolo wala nini!!! Bado kuna wababe wenu Prisons!! Dah!! Kazi ipo.
Botwasana? Kufanya nini?Afadhali hata Biashara hawakueda Botswana
Pooole ila hamna coach hapaNajuta hata kuja kuangalia Mechi bora ningekaa nyumbani nipike, maumivu niliyonayo Mungu anajua.
Sawa sawa
Hahaha msemaji mpya.Mwijaku ajiandae kufukuliwa mtaro
Na pyramid wanazooom tuu!Sasa mkacheze na Mazembe huko confédération.