Simba SC 1-3 Jwaneng Galaxy FC | CAFCL | Simba yatolewa klabu bingwa Afrika

Mimi Ni mnyama, tuliwaambia hiyo biashara ya kuuza wachezaji tegemezi itawatokea puani. Hawakusikia. Pengo lao halitozibika sasa hivi. Na yule kocha asiyekuwa Na vyeti afukuzwe tu. Niliwahi kusema pia pale Simba kuna pengo lingine la kocha naona watu hawakunielewa.
 
Haikuwa bahati yenu ila tukiachana na bahati kwasasa timu yenu ina struggle sana kupata matokeo

Ukitaka kujua hilo kumbuka ni lini simba inapigwa goli tatu nyumbani

Kuondoka kwa Chama na Luis kumetuvuruga sana.

Inabidi wafanye juu chini watafute mbadala wao
 
Uchawi wanaoutegemea tena Kwa kuiba vitu vya watu ili watumie nguvu Yao kufanikisha ushindi wao wataangukia pua kila siku
 
Asante sana Mkuu ila hii Simba ya MO na Barbra hapana wanabett hawa.
 
Hamna watu wanaomba Simba ifungwe kama hawa vyura. Yani hata hao Jwaneng hawana roho mbaya kama hawa tulioshare damu kwnye koo huko
[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aisee
 
Niseme tu Boko na kapombe hawakustahili kumaliza hata dk 30 makosa yaliyotokea warekebishe kwenye shirikisho tumekosa nafas za wazi wazi nying Sana wawa uzeee umemtupa mkono
 
Barcelona inafungwa sembuse simba? Over confidence ndo ttz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…