BIN NUN
JF-Expert Member
- May 23, 2014
- 3,477
- 7,085
Weee[emoji1787][emoji1787]Ila hii mechi Simba anashinda vizuri tuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weee[emoji1787][emoji1787]Ila hii mechi Simba anashinda vizuri tuu
Unafikiri tatizo lilikuwa wap mpk simba wametolewa CAFng
Haikuwa bahati yenu ila tukiachana na bahati kwasasa timu yenu ina struggle sana kupata matokeo
Ukitaka kujua hilo kumbuka ni lini simba inapigwa goli tatu nyumbani
Sasa mkacheze na Mazembe huko confédération.
Ukoroofi huoKama nawaona utopolo wanavyotamani maajabu yatokee
Asante sana Mkuu ila hii Simba ya MO na Barbra hapana wanabett hawa.Hii mechi ilikuwa siyo ya kufungwa hata kidogo! Simba ya sasa imekosa kabisa wachezaji wa kazi kazi kama ilivyo kuwa msimu uliopita.
Poleni sana watani. Ni wakati sasa kila timu kupambana na hali yake. Binafsi nitafarijika sana iwapo msimu ujao zitashiriki timu mbili tu, ili tuwakilishwe na wababe halisi kwenye mashindano yajayo ya kimataifa.
Wacha weee [emoji23][emoji23][emoji23]Simba anapita hapa hata iweje ila kuna namna ya kujitafakari vizuri kama timu
Utopolo ya Botswana naona imetusua aisee, simba ni wakuda sana ,wanafungwaje kizembe namna ileAaaah utopolo mshaanza malalamiko. Tufanye 0-0 vipi hapo utopolo ya botswana itasonga?
Uwekezaji kwa wachezaji umepewa bajeti ndogo sana msimu huuBado nashangaa Bocco, Kagere, Mugalu, Manura, Wawa, Onyango, Nyoni, Mkude wanafanya nini Simba
WawaKuna Mda kocha Unamshangaa sanaa, Na Nitashangaa Simba Wasipo Mtimua Huyu Kocha.
Kapombe kachokaa hawezi tena mpira anafanya Sub za Kipuuzi saana
[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aiseeHamna watu wanaomba Simba ifungwe kama hawa vyura. Yani hata hao Jwaneng hawana roho mbaya kama hawa tulioshare damu kwnye koo huko
Mmetoka kiume jirani zetu!Unafikiri KMC hii?
Wakikujibu unipe taarifa mkuu.[emoji23][emoji1787][emoji1787]Ameshakunywa ngapi nyau fc?
Barcelona inafungwa sembuse simba? Over confidence ndo ttzNi ujinga kumlaumu kocha kwa hiko kipigo walichopata Simba, ni uzembe wa wachezaji 100% hawajitambui kabisa.
Inshort wachezaji wa Simba wengi wana umri mkubwa lakini hawajui wanachofanya uwanjani, na matokeo ya aina hii sio mara ya kwanza kutokea UD Songo walifanya hiki hiki, ila cha leo ni aibu kubwa zaidi.
Wachezaji wanapewa kila wanachotaka lakini wapi, mishahara mizuri, kambi nzuri, posho,kufungwa tatu nyumbani ni zaidi ya upuuzi, ni sawa na kwenda hatua tatu mbele halafu kurudi kumi nyuma, nxt yr Tanzania itapeleka timu mbili pekee hopless, mpira wetu bado sana.