Simba SC 1-3 Jwaneng Galaxy FC | CAFCL | Simba yatolewa klabu bingwa Afrika

Coach nae kihiyo tu..
Onyango anatuokoa kwenye mipira ya juu.. sub ya wawa why hakufanya
Bocco kazeeka,
Morisoni hajielewi..
Dirisha dogo wamuondoe kagere watafute striker
 
Hili ndilo tatizo la wachezaji na viongozi wa timu ku bet mechi wanazocheza. Hii mechi, uchunguzi ufanyike kwa makampuni ama maajenti wa biashara za kamali nchini. Betting is killing our football game.

Poleni watani zangu.
 
Kuweni wazalendo bhana !
Chief katika watu ni wazendo mimi ni mojawapo
Real mimi ni yanga but suala la uzalendo huwa nakuwa real so japo nashangilia kishabiki lakin imeniuma simba yanga biashara azam
Najiuliza sisi wa Tz mpaka lini hivi!
Siasa shida,elimu shida,maendeleo shida!!
 
WanaSimba tuweni Watulivu, Mpira ndivyo ulivyo kwa maaana ya kuwa na Matokeo Katili zaidi ya Nyati mwenye jeraha. Tumefurahi pamoja hatuna budi kuhuzunika pamoja kwa utulivu. Tukubali utani kama ambavyo huwa tunatania wenzetu hatuna budi kupunguza munkari.
Poleni WanaMsimbazi.
 

Huyu ndiye mchawi wenu, mnaleta hata mashoga kwenye timu
 
GoooooooaaaaaaaaaaaaAAAAAaallllllllll
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…