Simba SC 1-3 Jwaneng Galaxy FC | CAFCL | Simba yatolewa klabu bingwa Afrika

Mafanikio yao yalikuwa ya chupli chupli

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Mazembe ajafungwa nyumbani Ila katolewa kwa goli la ugenini. Ugenini 0-0 Lubumbashi 1-1. Simba licha ya kutolewa kwa goli la ugenini Ila imefungwa kwa Mkapa.
Na ndiyo timu pekee iliyofungwa kwenye uwanja wa nyumbani kwake kwenye hiyo michezo ya mwisho!
 
Uzi wa makhirikhiri huu. Dah uliweza kunipa raha ssna huu uzi. Furaha yngu kuona makolo wanatesek
 
Hii isijirudie tunataka timu 2 za TZ zitinge makundi CAF champions league.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…