Simba wasiwasahau Kayombo, Smart, Tatu Malogo na Elly Sasii wakati wa kufanya usajiri wao dirisha kubwa

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
18,154
Reaction score
17,491
Wakati wanaposajili wasisahau ile nafasi ya pili kwenye ligi ya NBC waliipataje. Wasije wakasahau kuwa walikuwa na timu mbovu iliyosaidiwa kumaliza katika nafasi ya pili kwa msaada wa waamuzi.

Wasithubutu kusahau mchango wa cepha Kayombo, Smart, Tatu Malogo na Elly Sasii. Pia wawashukuru Kidao na Karia kukubali kutumika vibaya na Simba.
 
Kabisaa, Points 12 zote zilitoka kwa hao watu
 
Kabisa,bila,kuwasahau Arajiga,Kayoko na zile timu 8 walizozidhamini ambapo hakuna hata moja iliyotoa sare,yaani zote zimeachia point 6 mara nane ni 48,pathetic
 
Wakati wanaposajili wasiwasahau ile nafasi ya pili kwenye ligi ya NBC waliipataje. Wasije wakasahau kuwa walikuwa na timu mbovu iliyosaidiwa kumaliza katika nafasi ya pili kwa msaada wa waamuzi.
Wamesajili kubwa lao, Kara mwenyewe.

Kuna mahali nimekuta mashabiki wa 5imba wakifurahia Karia kubaki kuwa mgombea pekee.
 
Kabisa,bila,kuwasahau Arajiga,Kayoko na zile timu 8 walizozidhamini ambapo hakuna hata moja iliyotoa sare,yaani zote zimeachia point 6 mara nane ni 48,pathetic
Huko ni kushupaza shingo, lakini kama mtajidanganya kuwa mlishida nafasi ya pili kwa uwezo wa wachezaji na bench la ufundi mtajitekenya wenyewe na kucheka.
 
Wamesajili kubwa lao, Kara mwenyewe.

Kuna mahali nimekuta mashabiki wa 5imba wakifurahia Karia kubaki kuwa mgombea pekee.
Nafasi waliyoshika kwenye ligi sifa wampe Wilfred Kidao na Karia sio wachezaji, bench la ufundi Wala uongozi wa Simba.
 
Zaidi ya mechi kumi na zaidi Simba walipata mbeleko na kuzishusha daraja timu nyingi, ikafika mahali mechi zao hakuna uto anaeangalia tena maana matokeo yalijulikana mpira utachezwa hadi Gizani Hadi Simba ashinde, na nikashangaa hadi shirikisho marefa walifikiwa rejea goli la Kibu lupaso dkk zikiwa zimeisha boli linapigwa tu. Hawa mbumbumbu wa Msimbazi wameshindikana kwa kuhonga marefa, kiboko yao ni Yanga tu.
 
Kabisa,bila,kuwasahau Arajiga,Kayoko na zile timu 8 walizozidhamini ambapo hakuna hata moja iliyotoa sare,yaani zote zimeachia point 6 mara nane ni 48,pathetic
Simba na Azam nao tunawadhamini
 
Wamesajili kubwa lao, Kara mwenyewe.

Kuna mahali nimekuta mashabiki wa 5imba wakifurahia Karia kubaki kuwa mgombea pekee.
Huyo uwa anawasaidia michuano ya caf kuwapanga marefa na kuwalinda kwa ujinga mwingine pale lupaso ,😂
 
Kabisa,bila,kuwasahau Arajiga,Kayoko na zile timu 8 walizozidhamini ambapo hakuna hata moja iliyotoa sare,yaani zote zimeachia point 6 mara nane ni 48,pathetic
Mbeleko za Kidau a Karia zilianza hivi;
1. Azam media walipigwa mkwara kuacha kuonyesha lig

Ñ,m,!,.
Kabisa,bila,kuwasahau Arajiga,Kayoko na zile timu 8 walizozidhamini ambapo hakuna hata moja iliyotoa sare,yaani zote zimeachia point 6 mara nane ni 48,pathetic
Habari hii imepoteza maana yake baada ya Yanga kuifunga Simba isiyodhaminiwa na GSM mara 5 mfululizo, nje ndani. Habari kama hii inawapotezea muda na umakini Simba wakati wa kushindwa kwao. Yanga ikishindwa inakaa chini na kutafuta sababu za kweli zà kushindwa kwao ili itafute majibu ya kweli ya kushindwa, lakini Simba wakishindwa wanatafuta kichaka cha kuficha nyuso zao tu.

Kinachoigharimu Simba ni upigaji mwingi wa fedha za mo kwaadhi ya viongozi wa Simba wakati wa usajiri na wakati wa mechi. Kuna viongozi Simba wanabet na kuwatumia wachezaji mmojammoja na waamuzi kushinda na kushindwa mechi.
 
Kabisa,bila,kuwasahau Arajiga,Kayoko na zile timu 8 walizozidhamini ambapo hakuna hata moja iliyotoa sare,yaani zote zimeachia point 6 mara nane ni 48,pathetic
Namungo vs Simba
Pamba vs Simba
Simba vs mashujaa
Sijui uwanja wa AZAM?
 
Huyo uwa anawasaidia michuano ya caf kuwapanga marefa na kuwalinda kwa ujinga mwingine pale lupaso ,😂
Yeye na Kidao ndio masters wa kuitafutia 5imba Kila fursa inayopatikana kwenye ligi. Unakumbuka Simba ilivyopangiwa harakaharaka kucheza mechi za Fountain gate na Tabora United mzunguko wa kwanza wakati timu hizo bado zinahangaika na usajili wa wachezaji wao wa kigeni?
 
Kabisaa, Points 12 zote zilitoka kwa hao watu
Kwenye vikao vyao vya tathimini ya msimu uliopita wasahau mchango wa waamuzi na viongozi wa bodi ya ligi na TFF kwao.
 
Yeye na Kidao ndio masters wa kuitafutia 5imba Kila fursa inayopatikana kwenye ligi. Unakumbuka Simba ilivyopangiwa harakaharaka kucheza mechi za Fountain gate na Tabora United mzunguko wa kwanza wakati timu hizo bado zinahangaika na usajili wa wachezaji wao wa kigeni?
Ligi ya ndani Yanga ni kubwa kuliko wao,mshike mshike waliopitia Yanga msimu kama si ubora wa wachezaji na viongozi basi ingeshika kuanzia nafasi ya 7,caf Yanga uwa ni yatima na siku Yanga akiyafanya wanayofanya simba kule caf,utasikia kiongozi anapigwa mvua ya maisha kujihusisha na soka,ndio maana Yanga kimataifa hapo lupaso uwa kama yupo neutral ground sio home
 
Wakati wanaposajili wasisahau ile nafasi ya pili kwenye ligi ya NBC waliipataje. Wasije wakasahau kuwa walikuwa na timu mbovu iliyosaidiwa kumaliza katika nafasi ya pili kwa msaada wa waamuzi.

Wasithubutu kusahau mchango wa cepha Kayombo, Smart, Tatu Malogo na Elly Sasii. Pia wawashukuru Kidao na Karia kukubali kutumika vibaya na Simba.
Mbona Shomary Lawi na Amina Kyando wameachwa kwenye huo usajili! Au ndiyo kusema viwango vyao vimeshuka!!!
 
Back
Top Bottom