kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,154
- 17,491
- Thread starter
- #41
Wale waamuzi kutoka Misri lilikuwa teke la mwisho la TFF katika kuisaidia Simba wakiamini kuwa Alajiga ataisaidia Yanga kama atachezesha mechi ile.Comrade, mbona umeisahau timu nyingine ya 9 iliyofungwa mara 5 mfululizo! Na hata kwenye msimu huu unaotamatika, imeichangia Yanga pointi 6 kwenye ubingwa wake.
Halafu ungewaongeza na wale waamuzi wa kutoka Misri waliochezesha derby ya mwisho.