Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 46,405
- 138,158
Comrade, mbona umeisahau timu nyingine ya 9 iliyofungwa mara 5 mfululizo! Na hata kwenye msimu huu unaotamatika, imeichangia Yanga pointi 6 kwenye ubingwa wake.Kabisa,bila,kuwasahau Arajiga,Kayoko na zile timu 8 walizozidhamini ambapo hakuna hata moja iliyotoa sare,yaani zote zimeachia point 6 mara nane ni 48,pathetic
Halafu ungewaongeza na wale waamuzi wa kutoka Misri waliochezesha derby ya mwisho.