Tetesi: Simba yacharuka, yazitaka saini za Pacome, Aucho Msimbazi!

Kama anaweza ku-afford kununiwa siku nzima ajaribu Babu.
 
Injinia ana upepo tu.

Tunazikumbuka hustling zake kipindi mnambeba juu juu akiwaahidi asipochukua ubingwa aulizwe.
Hata kama ni ushabiki, upepo msimu wa 4 huu?
 
Wewe unaongea kama shabiki andazi tu kwasababu viongozi wa simba kwa utashi wao huwa wanaamua wamlete nani na sio kwamba wanafuata maoni ya wapuuzi kama wewe ambao hata humu ndani hamutumii majina muliyopewa na wazazi wenu...
Kwa mihemko hii bila shaka we utakuwa manager wa Pacome.

Unahisi kama nazuia mifereji ya neema sio?
 
Nitajie wachezaji wako wawili tu wenye uwezo kumzidi Aucho? Au Mzamiru?
Level ya Aucho sio ya kuifanyia comparison Simba labda Fountain Gate kushuka chini huko ndio utawapata wachezaji sampuli yake
 
Kama anaweza ku-afford kununiwa siku nzima ajaribu Babu.
Hebu ninong'oneze Babu yako, unataka tukutafutie zawadi gani ili uhamie upande wetu Mjukuu

Hata kama itatulazimu Mimi na Mkwe wangu tuhamishe Mlima Kilimanjaro ili uje hapa DSM kwaajili yako, tupo tayari 😜

Ila ujue Kwa hiyo rangi yako, Utapendeza maradufu ukivaa Jersey ya Mnyama πŸ€—
 
Babu unaijuaje rangi yangu jamani?

Ila kweli, huwa nikivaa red nasifiwa kweliweli. Lakini, yeye anajua kiasi gani niko Yanga. Hatokaa athubutu kunishawishi.
 
Babu unaijuaje rangi yangu jamani?

Ila kweli, huwa nikivaa red nasifiwa kweliweli. Lakini, yeye anajua kiasi gani niko Yanga. Hatokaa athubutu kunishawishi.
Babu nitaachache kujua rangi za Wajukuu zangu 😜(jokingly)

To be honest, kwa umbile lako na hiyo rangi. Ukivaa Jersey nyekundu ama nyeupe ya Simba lazima upendeze

Nitamshauri Mkwe akununulie nyingi za hivyo halafu kwenye Kila mechi ya Simba awe anakupeleka

Automatic utajikuta unahamia Simba SC mdogo mdogo
 
Mwanachama bora wa mchongo, Mwanachama bora Uchwara
Nikukumbushe tu, hicho chanzo unachokiita uchwara ndicho kimenipa hadhi ya kutambulika kama mwanachama bora wa Jamii Forums kwa mwaka huu 2024.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…